Uhusiano mbaya kati ya nchi hizi mbili, unatokana na utawala uliopo kuamini kwamba matumizi ya kauli za kibabe ndio suluhisho la mambo yote.
Kwa upumbavu huu, tayari urafiki wetu na Rwanda ni kama umekufa. Urafiki wetu na Kenya ndio hivyo tena.
Tumekuwa wehu, hata wahisani wetu tumekuwa tukiwaita majina ya kashfa na dharau kubwa.
Uongozi umekosa hekima.
No diplomacy at all
Ukweli usisemwe kwa kuwa unaona ni ukosoaji,hata waliokuwa wazalendo, wanaupata kwa kuwa wakweli na kuukata uongo kwa dhamira ya dhati ya moyo wao , sii kinafiki na sii kwa maslahi yoyote wayapatayo.Kama unapenda kosoa kosoa kama nyumbu, unapaswa utambue sio wote nyumbu, unamind mtu akisifia Tz, si ufara huo.
Hii lugha uliyotumia mwishoni mwa comment yako inareflect uwezo wa akili yako.Huchagui jirani lakini kuwa jirani na Kenya ni bahati mbaya Mungu alitupa. Kenya ni washamba.. Wajuaji.. Pro wazungu.. Wana roho mbaya.. Ningekuwa mm Rais ningeimarisha uhusiano na nchi za sadc sana.. Hasa Zambia.. Mozambique.. Kuliko Kenya.. Mbwa hawa
Kwa nini zamani hatukuwa na tatizo na Kenya? Kwa nini iwe tu zaidi katika awamu hii? Tazama kwanza upande wakoa kabla ya kutazama upande wa pili.Huchagui jirani lakini kuwa jirani na Kenya ni bahati mbaya Mungu alitupa. Kenya ni washamba.. Wajuaji.. Pro wazungu.. Wana roho mbaya.. Ningekuwa mm Rais ningeimarisha uhusiano na nchi za sadc sana.. Hasa Zambia.. Mozambique.. Kuliko Kenya.. Mbwa hawa
Hebu mleta mada atusaidie;Sasa mahindi kama nimachafu wasiongee?
Kama za huyo bwana. Na akili ukiidanganya inakubwetesha. Katika dunia ya leo hata msemo wa 'ridhika na ulicho nacho' ina hitaji tafakuri kubwa.Watanzania tunapenda kujifariji kwa kauli za kifala sana.
Yes mnawashinda Kenya kwenye wizi wa kura.
Ni upuuzi mtupu ulioandika.Kenya inaitegemea zaidi Tanzania katika nyanja mbalimbali kuliko Tanzania inavyoitegemea Kenya katika mambo machache sana hasa soko la nafaka na matunda.
Ni vema tukaendelea kuheshimiana maana aliyeshika mpini anajulikana.
Nawatakia Kwaresma yenye baraka!
Maendeleo hayana vyama!
Kwani ukichangia bila matusi utadhurika? Matusi ni kiwakilishi cha upungufu wa mawazo.Huchagui jirani lakini kuwa jirani na Kenya ni bahati mbaya Mungu alitupa. Kenya ni washamba.. Wajuaji.. Pro wazungu.. Wana roho mbaya.. Ningekuwa mm Rais ningeimarisha uhusiano na nchi za sadc sana.. Hasa Zambia.. Mozambique.. Kuliko Kenya.. Mbwa hawa
Upo sahihi sana. Sijui kwa nini wanaopenda kuisifia Serikali yetu kwa kila kitu, hawana hata akili ya kujiuliza kama ulivyowakumbusha hapa?Hoja kwamba tutauza nchi zingine nayo ni kujipa matumaini tu. Mbona 2017 tulihangaika kutafuta soko hadi mahindi yakaharibika? Hizo nchi zingine hazikuwepo? Tusitoe majibu mepesi kwa maswali magumu. Manji alipoacha kununua Mbaazi tulisema serikali itanunua na kupeleka huko anakopelekaga Manji. Lakini nini kilitokea? Bei imeporomoka kutoka 3,000/= hadi TZS 200/= kwa kilo. Korosho mnakumbuka pia kilichotokea? Kwahiyo tusijipe matumaini. Hali itakua mbaya.
Hili jambo uelewi lolote.
Kauli za kijinga za viongozi wetu ndio matokeo yake
Ni upuuzi mtupu ulioandika.
Uongozi wa awamu hii imekuwa ni chanzo cha haya yote.
Mikoa ya nyanda za juu, leo hii mbao zimetapakaa kila sehemu kwa kukosa soko. Tatizo ni kwamba soko la Kenya limevurugwa.
Kuna jamaa alitaka kununua asali yote ya Tanzania na kuipeleka Ujerumani, ilishindikana kwa sababu processing ya kwanza ilitakiwa ifanyikie Kenya. Na Kenya, jamaa yetu alikwishavuruga, ikashindikana. Leo asali iliyopo Katavi na Tabora, soko limekuwa la kubahatisha.
Kusema Kenya inaitegemea Tanzania ni upumbavu wa hali ya juu. Ni maneno yanayotamkwa na wajinga wasiojua lolote kuhusu biashara wala uchumi.
Hivi kwa nini matatizo haya yanatokea kwenye utawala huu? Awamu hii kuna shida sana kwenye leadership. Wamepewa mamlaka watu ambao wanaamini kila mahali kutumia nguvu badala ya akili ja diplomasia ya kiuchumi.
Kabla ya kuexport mahindi yanakaguliwa na Taasisi ya viwango.Hebu mleta mada atusaidie;
Hivi Maafisa kilimo wanapowaambia Wakulima kuhifadhi kwa namna tofauti mahindi ya kuuza na mahindi ya kula familia huwa wana maana gani?
Matumizi ya matusi na lugha za kibabe kwa wananchi wa kawaida ni tokeo la kuiga jinsi tunanavyo tawaliwa bila kufuata sheria. Ni mwendo wa vitisho na matamko yasio weza husishwa na kifungu cho chote cha sheria.Moderator / Mhariri / JamiiForums naomba hilo neno "Mbwa hawa" liondolewe.
Kenya ni Taifa la watu na sio taifa la mbwa. Tujifunze kutumia lugha nzuri na za staha
Kwa hiyo tukishafanya huku wao wanatakiwa kupokea tu bila kuhoji?Kabla ya kuexport mahindi yanakaguliwa na Taasisi ya viwango.
Kwa jinsi ulivyolalamika ni dhahiri Kenya inaitegemea zaidi Tanzania!Ni upuuzi mtupu ulioandika.
Uongozi wa awamu hii imekuwa ni chanzo cha haya yote.
Mikoa ya nyanda za juu, leo hii mbao zimetapakaa kila sehemu kwa kukosa soko. Tatizo ni kwamba soko la Kenya limevurugwa.
Kuna jamaa alitaka kununua asali yote ya Tanzania na kuipeleka Ujerumani, ilishindikana kwa sababu processing ya kwanza ilitakiwa ifanyikie Kenya. Na Kenya, jamaa yetu alikwishavuruga, ikashindikana. Leo asali iliyopo Katavi na Tabora, soko limekuwa la kubahatisha.
Kusema Kenya inaitegemea Tanzania ni upumbavu wa hali ya juu. Ni maneno yanayotamkwa na wajinga wasiojua lolote kuhusu biashara wala uchumi.
Hivi kwa nini matatizo haya yanatokea kwenye utawala huu? Awamu hii kuna shida sana kwenye leadership. Wamepewa mamlaka watu ambao wanaamini kila mahali kutumia nguvu badala ya akili ja diplomasia ya kiuchumi.
Muhimu sana kulifahamu hili?Turudi ubaoni sumu kuvu inatokana nini kwenye mahindi ? Tuwaache wana diplomasia wataongea na kuweka na sawa .....tujue ukweli mahindi yetu