abdul_eliesikia
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 787
- 775
🙏🙏🙏 huu ndio ukweli mkuu.. asanteKiukweli uchumi wa Kenya uko juu na wala tusipepese macho. Jiulize kwa nini Kenya ina makampuni zaidi ya 200 yaliyowekeza Tanzania na je Tanzania wana Makampuni mangapi yaliyopo Kenya? Nchi zote za Afrika Mashariki ni soko la bidhaa za Kenya. Uchumi haudanganyi.
Angalia takwimu za bajeti za Afrika Mashariki kwa mwaka 2019/20; Kenya Tsh 66.8 Trilion, Uganda Tsh 23.6 Trillion na Tanzania 30.4, Rwanda Tsh 6.8 Trilion, Burundi 1.8 Trilion na South Sudan Tsh 3.5 Trillion (ambayo jumla ya yote ni Tsh 66.1 Trilion). Picha unayopata ni kwamba uchumi wa Kenya ni mkubwa kuliko nchi zingine zote 4 za Afrika Mashariki yote zikiwekwa pamoja.
Tunahitaji uchambuzi yakinifu kabla ya kutoa statement kuwa TZ tupo mbali as compared to Kenya. Analysis za kiuchumi, kielimu nk. Tuache porojo porojo zinazoincline kwenye siasa.
Kaka umeongea ukweli mtupu,nenda kijijii huko kenya,kuna umaskini wa kutupwa,wakenya waliowengi ni vibarua ktk mashamba ya matajiri,Mkuu, mimi nimezungumzia masuala ya kwenye grass root - labda nirudie kuuliza swali langu: Nime hoji hivi: Je,umewahi kutembelea vijiji vya Kenya ambako ndiko watu wana ishi kwa mwingi ukashuhudia maisha yao alisi yalivyo?
Mkuu, usichukulie takwimu za kibajeti kama ndio barometer /mwarobaini wa kuonyesha kiundani kila kitu.
Ukweli unabaki kwamba linapo kuja suala la Gap kati ya Kenyans HAVE and HAVE NOT inatisha asikwambie mtu - je, Tanzania hali hiko hivyo???? Labda tuanzie hapo kudadavua.
Kenya ipi unayoitaja wewe? Ulishawahi kufika kenya hata siku moja,!?, na km ulishawahi kufika ni sehemu gn hiyo?, kenya kumejaa umasikini na ufukara wa kutupwa,nenda vijiji huwezi kuamini,watu wanaufukara wa kutupwa,hivi dar kuna mtaa unaofanana na kibera wa Nairobi, au mabanda ya Nairobi,? Nitafutie mji uliojaa mafukara kwa tanzania km ilivyo kibera na mabanda za Nairobi,tuache unafiki,,Ujinga upi sasa mbona huutaji?
Ninakubaliana nawe kuhusu "uongozi wetu"; lakini kuwaita Kenya marafiki?Uhusiano mbaya kati ya nchi hizi mbili, unatokana na utawala uliopo kuamini kwamba matumizi ya kauli za kibabe ndio suluhisho la mambo yote.
Kwa upumbavu huu, tayari urafiki wetu na Rwanda ni kama umekufa. Urafiki wetu na Kenya ndio hivyo tena.
Tumekuwa wehu, hata wahisani wetu tumekuwa tukiwaita majina ya kashfa na dharau kubwa.
Uongozi umekosa hekima.
No diplomacy at all
Kilichotaka kufanyika mwaka 1972 kuna siku KITAFANYIKA,hata kama sio leo,kesho inakujaNinakubaliana nawe kuhusu "uongozi wetu"; lakini kuwaita Kenya marafiki?
Huo urafiki wa kinafiki ni hatari zaidi.
Sema Kenya ni majirani, hatuna njia ya kuwasogeza mbali. Tutashirikiana nao kwa uangalifu, lakini urafiki? Hapana.
Sasa wewe unataka vipi mkuu 'mkiki'.Hoja kwamba tutauza nchi zingine nayo ni kujipa matumaini tu. Mbona 2017 tulihangaika kutafuta soko hadi mahindi yakaharibika? Hizo nchi zingine hazikuwepo? Tusitoe majibu mepesi kwa maswali magumu. Manji alipoacha kununua Mbaazi tulisema serikali itanunua na kupeleka huko anakopelekaga Manji. Lakini nini kilitokea? Bei imeporomoka kutoka 3,000/= hadi TZS 200/= kwa kilo. Korosho mnakumbuka pia kilichotokea? Kwahiyo tusijipe matumaini. Hali itakua mbaya.
Hili jambo uelewi lolote.
Kauli za kijinga za viongozi wetu ndio matokeo yake
Kwanini mliwapa zawadi ya tausi adui zenu?Ninakubaliana nawe kuhusu "uongozi wetu"; lakini kuwaita Kenya marafiki?
Huo urafiki wa kinafiki ni hatari zaidi.
Sema Kenya ni majirani, hatuna njia ya kuwasogeza mbali. Tutashirikiana nao kwa uangalifu, lakini urafiki? Hapana.
Sasa wewe unataka vipi mkuu 'mkiki'.
Mnunuzi ndio huyo unayemlilia kakataa mwenyewe, hajafukuzwa na mtu!
Tuendelee kukaa hapa tukimlilia Kenya atusamehe, kwa kosa gani?
Biashara hizi ndivyo zilivyo. Leo mnunuzi wako wa siku nyingi anakuterekeza, usikae chini na kubaki kulialia. Simama,
Ndio, viongozi wetu wanafanya makosa pia, kama hayo ya korosho, n.k., bila shaka wamejifunza jambo hapo.
Hilo la Manji na mbaazi naona huna ufahamu mzuri juu yake. Sio Tanzania pekee iliyolengwa.
Hapana.Kilichotaka kufanyika mwaka 1972 kuna siku KITAFANYIKA,hata kama sio leo,kesho inakuja
Eeenh Heee.Kwanini mliwapa zawadi ya tausi adui zenu?
Mkuu 'mkiki', kwani nakataa mkuu wangu kuhusu matatizo ya wakulima wetu?Wewe upo mjini?
Wa kulima wa Mbaazi na Korosho unajua wanaendelea vipi?
Magufuli na matatizo sema hamjui tu
Uhusiano wetu na Rwanda umekufa nani kasema , Rwanda hawa sie tnawasaidia wataalam wa madini uhusiano umekufa , acha uongoUhusiano mbaya kati ya nchi hizi mbili, unatokana na utawala uliopo kuamini kwamba matumizi ya kauli za kibabe ndio suluhisho la mambo yote.
Kwa upumbavu huu, tayari urafiki wetu na Rwanda ni kama umekufa. Urafiki wetu na Kenya ndio hivyo tena.
Tumekuwa wehu, hata wahisani wetu tumekuwa tukiwaita majina ya kashfa na dharau kubwa.
Uongozi umekosa hekima.
No diplomacy at all
Unajitekenya na kucheka mwenyewe tu[emoji23][emoji23][emoji23], weka hapa mfano ya hizo vijiji unasema umefika nikuumbue, wivu na chuki ndio inazungumza hapa, hauna facts na uwache kuwadanganya wenzako, eti Kenya kumejaa umasikini wa kutupwa, peleka ujinga mbali, unasoma Mambo kwa mitandao na battle between Kenya na Tz unachukua Kama taarifa kamili, low IQ[emoji23][emoji23][emoji28], uko kila sehemu, I have read your tone already. Ukweli inakutesa sana [emoji23][emoji28], jikubali upone. Tanzania ni aibu EAC, mimebeba masikini wa kutupwa kwa wingi, inafaa ujiulize tatizo liko wapi?., Nawaelewa vizuri, watu Kama wewe ndio vibaraka wa CCM, huwezi kosoa ujinga wa serikali yenyu. Grow up ba mzee.Kenya ipi unayoitaja wewe? Ulishawahi kufika kenya hata siku moja,!?, na km ulishawahi kufika ni sehemu gn hiyo?, kenya kumejaa umasikini na ufukara wa kutupwa,nenda vijiji huwezi kuamini,watu wanaufukara wa kutupwa,hivi dar kuna mtaa unaofanana na kibera wa Nairobi, au mabanda ya Nairobi,? Nitafutie mji uliojaa mafukara kwa tanzania km ilivyo kibera na mabanda za Nairobi,tuache unafiki,,
Badala ya kunitukana jibu hoja zangu ndugu,mie nimeishi nairobi zaidi ya miaka 11,robo tatu ya kenya nimeizungukia,nilikuwa naishi kamukunji, umaskini uliopo mabanda unaupata wapi kwa tanzania? Au ufukara uliopo kibera unaupata wapi ukiwa Dar?,ukiishiwa hoja tukana,lkn km uko na hoja jibu hoja,matusi ni kuonyesha udhaifu wako mbele za watuUnajitekenya na kucheka mwenyewe tu[emoji23][emoji23][emoji23], weka hapa mfano ya hizo vijiji unasema umefika nikuumbue, wivu na chuki ndio inazungumza hapa, hauna facts na uwache kuwadanganya wenzako, eti Kenya kimejaa umasikini wa kutupwa, peleka ujinga mbali, unasoma Mambo kwa mtandao na battle between Kenya na Tz unachukua Kama taarifa kamili, low IQ[emoji23][emoji23][emoji28], uko kila sehemu, I have read your tone already. Ukweli inakutesa sana [emoji23][emoji28], jikubali upone.
Kushika mwongo ni rahisi sana, unaandika kishabiki, utoto nothing to substantiate. Wivu na chuki zisikunyonge kaka, hauijui Kenya zaidi ya mitandao, I can tell a Tanzanian who has lived in Kenya and a guesswork idiot like you. Eti robo tatu ya Kenya umeizunguka, hata hauna haya, unajifariji tu wewe, first of all you are poor, a well endowed and informed human being hana fikra za kishamba kama hizi zako., Stick to google tu, haujui lolote. Ama unataka proof?.,Badala ya kunitukana jibu hoja zangu ndugu,mie nimeishi nairobi zaidi ya miaka 11,robo tatu ya kenya nimeizungukia,nilikuwa naishi kamukunji, umaskini uliopo mabanda unaupata wapi kwa tanzania? Au ufukara uliopo kibera unaupata wapi ukiwa Dar?,ukiishiwa hoja tukana,lkn km uko na hoja jibu hoja,matusi ni kuonyesha udhaifu wako mbele za watu
Nilitembelea Mtwapa Mombasa aisee wachovu wako wa kutosha kabisa!Kushika mwongo ni rahisi sana, unaandika kishabiki, utoto nothing to substantiate. Wivu na chuki zisikunyonge kaka, hauijui Kenya zaidi ya mitandao, I can tell a Tanzanian who has lived in Kenya and a guesswork idiot like you. Eti robo tatu ya Kenya umeizunguka, hata hauna haya, unajifariji tu wewe, first of all you are poor, a well endowed and informed human being hana fikra za kishamba kama hizi zako., Stick to google tu, haujui lolote. Ama unataka proof?.,
Tofauti na uswahilini Tz iko wapi?[emoji28][emoji23][emoji23]., I know pwani ya Kenya na Tanzania zina maisha same sana, pia tabia na tamaduni, hali ya maisha, ni mandugu wale, utapata watanzania wengi wamezamia kule, kutofautisha si rahisi.Nilitembelea Mtwapa Mombasa aisee wachovu wako wa kutosha kabisa!