Tanzania tunawazidi Kenya katika mambo mengi, jambo la msingi tuendelee kuheshimiana

Biashara ya mahindi sio kama unavyouza nyanya.
 

Here we go again - mimi nimezungumza nilicho wahi kuona kwa macho hali alisi ilivyo kwenye vijiji vya Kenyaukilinganisha
 
Hahahaaa,napoteza mda wangu bure,inaonekana una fikra mbilikimo akili zenye matege,lugha unayotumia ni lugha ya watu wenye hasira,watu wenye chuki,watu waliopigika kimaisha,nafikiri wewe unaumaskini kuanzia kwenye fikra mpk maisha,kwa akili3,ako unafikiri kenya ni mbinguni kufika mpk ufe? Leo ninao wakenya hapa kwangu ninaishi nao kama kama ndugu tuliotoka nao afrika mashariki,mie nimechukua digrii yangu ya pili kenya,leo wewe kwa umbirikimo wa fikra zako umekallia kutukana hovyo hovyo,unjidhalilisha na kuwadhalilisha waliokuleta duniani
 
Kiswahili mingi zero points[emoji28][emoji23][emoji23], shukrani kwa Insha. Andika nyingine ukitaka., Akili ya degree ya pili hii?[emoji28][emoji23][emoji23], Kumbe knowledge ain't wisdom nor intelligence.
 
Huchagui jirani lakini kuwa jirani na Kenya ni bahati mbaya Mungu alitupa. Kenya ni washamba.. Wajuaji.. Pro wazungu.. Wana roho mbaya.. Ningekuwa mm Rais ningeimarisha uhusiano na nchi za sadc sana. Hasa Zambia, Mozambique.. Kuliko Kenya.
Bahati mbaya imetokea kipindi hiki cha awamu ya tano, mbona awamu zingine zote haikuwa bahati mbaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…