mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,778
- 7,145
Wana JF,
Ukisikia nchi kulogwa na aliyeiloga kafa ndio huu mchezo wa kudumaza mambo ya kisayansi na kuzalisha wanasiasa wengi, wanasheria wengi, wahubili wengi kiasi cha kukosa dira ya mpango wa elimu bora yenye mtririko wa kisayansi.
Ukienda kwenye vyuo vikuu vya umma utakuta vijana wengi wamekimbilia masomo ya wanasheria, nia yao ni kwakuwa wanasomea kujua kuupepeta ndomo ili waje kupata nafasi za uongozi kwenye serikali. Hii uweza kutugawa kwani idadi ya wanasayansi inapungua kwa kasi kwani kwenye sayansi wanaona hakuna masilahi mapana. Waliosota kwenye masomo ya sayansi huwa wakiwaoona wenzao wakichukuliwa vyuoni kwenda kuwa viongozi uona kama kazi aliyoisomea ya wanasayansi kama alipotoa. Mwanasayansi ni mhanga sana kwani serikali huwa haimwangalii usoni kwani ni wao tu waliokwenye Miliki wanachaguana kwa uswahili hata kama kichwani hanna kitu. Ndio hawa wanatoa data za uongo kuhusu kupungua kwa maji, umeme. Lakini kama tungezalisha wataalum wengi wa sayansi tu kama Korea au China tungekuwa na maendeleo sana. Chukulia wale wanaojazana kwenye makanisa kutafuta miuugiza wanavyopoteza fedha nyingi kutafuta maombi ya upepo.