Tanzania tunazalisha wanasiasa, wanasheria na viongozi wa Dini kuliko wanasayansi alaf tunataka kuingia 5G

Congole Bwana Biteko na Japho heri ninyi kuliko za aina msukuma.
 
Naunga mkono Ni wakati Kama Taifa tuamue moja wanafunzi wote kuanzia chekechea Hadi secondary wasome masomo ya sayansi tu

Haya masomo ya kupepeta mdomo yawe optional mtu akitaka ayasome mwenyewe kwa wakati wake
Point

Ova
 
Umesahau tunazalisha wasanii na wakata mauno

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…