Mwanafunzimg
JF-Expert Member
- Apr 7, 2012
- 392
- 80
Kama kusukuma maji ni issue na train je? So unataka WA tz wore kifo Chao kiwe train. Tusifanye test kwenye life za watu
Kwa hiyo wewe unafkr mwandishi sio muelewa? Punguani weweee hivi vitu ni vya kawaida na vinawezekana hata hapa Tz. Acha kufkr kama kizamani
Hapo ndipo uwelewa wake ulipofika chukua kijiti cha uwelewa wake changanya na za kwako kusongesha safari ya maarifa kwake na kwa wengine badala ya kulaumu na kukaa kimya
Gauge ya rail zetu ni ya zamani,haifai kwa mitambo ya kisasa. maana yake tunapaswa tufumue tujenge upya SGR (Standard Gauge Rail), maelfu ya kilometres. .. Hivyo si shughuli ya kitoto,ni matrilioni mengi. pia hata mabehewa yake ni tofauti kabisa.
Rudini kwanza shule muelewe teknolojia itumikayo kwenye usafirishaji kwa njia ya treni za umeme na hizi treni tutumiazo.
Kwa kuanzia anza kusoma alichoandika huyu mdau hapa chini:
Mkimaliza hapo pia fuatilieni aina ya mabehewa na injini zitumiazo umeme na zile zitumiazo mafuta ghafi.
Mkishatambua utofauti wa hayo rudi tena hapa jamvini halafu msome hoja ya mleta mada ni ipi.
Jengeni hoja sio mnaropoka vitu msivyojua...
Soma kwa umakini na acha uoga!,usihisi wote wanaomuunga mkono mtoa hoja kwa kila alichoandika na wala hawasemi wachukuwe mawazo yake kama yalivyo wayapeleke kwenye utekelezaji bali tunamuunga mkono kwamba anahoja ambayo inaweza fanyiwa kazi na kuboresha Maisha ya Watanzania,wahisi hatujui mifumo ya reli inatakiwa mipya? wahisi hatujui kwamba treni zenye miundo tofauti na hizi za mkoloni? wahisi hatujui kunahitajika mifumo dhabiti ya nishati? lakini kwa waona mbali haya yote na mengine yanawezekana kwenye nchi yetu kama tutaweka vipaumbele vyetu vizuri na kutumia rasilimali tulizonazo vizuri
acha utoto, umeshakua. Hivi unadhani hatuna uchumi wa kuwa na treni za aina hiyo. Acha kuwaza kinafiki au una hofu malori/mabasi yako yatakosa watejaNasikia zitajengwa Pemba
Lakini pale mwanzoni ulijifanya hamnazo kwa kile ulichopost, Kiongozi. Pale uliteleza. Hoja yake ina tija ndg yangu. Hivi wewe kwa mtazamo wako unakubaliana na hali iliyopo ya kutokuwa treni ambayo inafanya kazi kwa ufanisi, wakati katk mataifa yaliyoendelea ziko on, sisi tunaziuaMkuu mleta mada nimemsoma kwa makini na hoja yake nimeielewa.
Kwanza lazima utambue kuwa kuna challenges nyingi kwenye uwezeshaji wa mawazo yake, challenges hizo ni za kiteknolojia, kiutendaji na uendeshaji (kimfumo).
Pia lazima utambue kuwa treni za umeme hizo anazoongelea huyu ndugu ni mahsusi kwa ajili ya usafirishaji wa watu na sio mizigo.
Hao Wachina anaowalilia mizigo yao inasafirishwa na treni kama hizi hizi tulizonazo na wala sio fast trains.
Kwa hoja zangu tu hizo mbili ukiacha zile za kiufundi za mwanzo bado utagundua hoja ya ndugu yangu bado haina tija.
Muhimu labda tujadili namna ya kuboresha huu mfumo tulionao kwanza...
Wachina juzi kule kwao wamesherehekea ufunguzi wa train yenye very high speed. high speed trains ni za muda mrefu china na zinasaidia sana nchini china, nilikuwa najiuliza, watz tunashindwa nini kuzielectrify train zetu zitumie umeme badala ya mafuta na ziende kwa kasi, ziongezwe njia pia?
angalia kwa mfano: TAZARA tayari ipo imejengwa ni kiasi cha kutandaza mfumo wa umeme toka dsm hadi kaprimposhi zambia. Reli ya Kati ipo, kilichobaki ni kutandaza umeme toka dsm hadi kigoma na mwanza tu. reli ya toka dsm hadi Tanga na Tanga hadi moshi arusha ipo, ni kiasi tu cha kutandaza umeme na vitu vinaanza kufanya kazi. badala ya watu kutembea kwa train kwa siku tatu njiani, wanatembea kwa siku moja au pengine masaa tu wamefika kigoma.
tunashindwa nini? kwasasa japani wameshajiunga na ndugu zetu wa kusini/mozambique hadi wamewapatia dola milioni miasaba na wameomba kuwa rafiki yao kwasababu ya gas na mafuta. china imechagua tz kwasababu ya urafiki wa kihistoria na kwasababu ya mafuta na gas. pengine bomba likifika dsm tukafua umeme pale kinyerezi umeme wanaosema tutakuwa nao mwingi kiasi cha kuuza nchi za nje(nje za nchi) tutatumia umeme huo wa ziada kuifanya train system yetu itumie umeme na kuwe na speed ya usafirishaji wa mizigo, kama mzigo ukishushwa dsm leo asubuhi ufike kigoma au mwanza baada hata ya masaa kumi na mbili. inawezekana, badala ya masiku mengi na kwa malori yanayoharibu barabara zetu.
NI MUHIMU SANA KUBORESHA MIUNDO MBINU YETU HASA RELI NA BANDARI, barabara tumeshajitahidi tuhamishie nguvu kwenye bandari na reli tuone.
pia nashauri TUJENGE BANDARI KAVU KUBWA SANA PALE KAGONGWA AU ISAKA KAHAMA ambapo itufanya mji wa kahama uungene hadi Tinde pale toka kahama mjini. kwa mzunguko wa pesa wa kahama kwenye migodi ambao inakadiriwa kuisha miaka zaidi ya hamsini ijayo, na mzunguko wa bandari kavu, eneo lile litakuwa eneo la kibiashara sana. na nilisikia wanajenga kituo cha uwekezaji pale kahama/isaka (kwa wale wenyeji wa kule wanapaelewa). Mungu ibariki tz ifikie mafanikio haya. KIKWETE, TUNAHITAJI TRAIN ZA KUTUMIA UMEME ILI ZIENDE HARAKA, HII INAWEZEKANA KWASABABU UMEME TUTAKUWA NAO. hakuna linaloshindikana hapa duniani. south africa zipo, morroco zipo, tz tunashindwa nini?
halafu, kwanini ile reli/train toka KIA kule moshi hadi arusha isiboreshwe na itumie umeme pale ili watu tuishi maisha ya kisasa, tutaishi maisha ya kuona kama hatutaweza hadi lini jamani? tupeni sisi wengine uongozi muone kama nchi hii itabaki kama ilivyo. MUNGU IBARIKI TZ, MUNGU IBARIKI MIUNDOMBINU YA TZ.
Mkuu mleta mada nimemsoma kwa makini na hoja yake nimeielewa.
Kwanza lazima utambue kuwa kuna challenges nyingi kwenye uwezeshaji wa mawazo yake, challenges hizo ni za kiteknolojia, kiutendaji na uendeshaji (kimfumo).
Pia lazima utambue kuwa treni za umeme hizo anazoongelea huyu ndugu ni mahsusi kwa ajili ya usafirishaji wa watu na sio mizigo.
Hao Wachina anaowalilia mizigo yao inasafirishwa na treni kama hizi hizi tulizonazo na wala sio fast trains.
Kwa hoja zangu tu hizo mbili ukiacha zile za kiufundi za mwanzo bado utagundua hoja ya ndugu yangu bado haina tija.
Muhimu labda tujadili namna ya kuboresha huu mfumo tulionao kwanza...
Kama kusukuma maji ni issue na train je? So unataka WA tz wore kifo Chao kiwe train. Tusifanye test kwenye life za watu
Vitu vingine mnapoamua kuandika mbele ya kadamnasi kama JF hakikisheni mna uelewa wa kutosha kwanza...
Yani ndugu yangu ulivyoandika ni kama unamuandikia mtu mmoja msikivu kwelikweli.Wachina juzi kule kwao wamesherehekea ufunguzi wa train yenye very high speed. high speed trains ni za muda mrefu china na zinasaidia sana nchini china, nilikuwa najiuliza, watz tunashindwa nini kuzielectrify train zetu zitumie umeme badala ya mafuta na ziende kwa kasi, ziongezwe njia pia?