Loraa sum's
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 260
- 280
ndugu mleta mada naona una mawazo mazuri sana kinadharia ila kiutendaji nadhani hayo ni ndoto,bcoz ukiangalia nchi zinazotumia train za umeme wanauhakika kwanza na uwepo wa umeme wa kutosha majumban,viwandani n.k ila angalia nchi yako ya tanzania kama wameshindwa umeme wa majumbani2 wataweza kwel kuwa na umeme wa kuendeshea train?