Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

Unaongea kwa kusikia, mimi nimekaa halmashauri miaka 8 kama afisa mifugo nakwambia kwa miaka yote 8 nilibahatika kutoka safari 1 tu tena nayo kwa mbinde. Sema kilichofanikisha ni pale nilipomjumuisha mkuu wangu wa idara kwenye hiyo safari!
 
Unaongea kwa kusikia, mimi nimekaa halmashauri miaka 8 kama afisa mifugo nakwambia kwa miaka yote 8 nilibahatika kutoka safari 1 tu tena nayo kwa mbinde. Sema kilichofanikisha ni pale nilipomjumuisha mkuu wangu wa idara kwenye hiyo safari!
Wkt wewe unasema hivyo Kuna madogo wameripoti mwezi 4 mwaka huu huko halmashauri,wameshaenda kwny seminar ya wakaguzi wa Ndani(Arusha),wameshaenda kuhudhuria seminar ya NBAA Dar.
 
Aliyeajiriwa Serikalini mkopo anapata kwa masharti nafuu na KWA haraka aliyejiajiri hawezi pata mkopo kibwerere.
Wakati unakopa milioni kumi na riba million 15 ,rejesho milion 25 ,aliyejiarili ameshajenga nyumba na milion 30 anazo bank hazina kazi

Namkumbuka trump wa marekani ,tusipendelee kuwa wafungwa huru
 
Mwisho wa siku wote watakufa zikifika siku zao
 
Ukitaka hiyo maximum production uongeze na maslahi. Ukiongeza maslahi walioajikiwa sio wajinga watapiga kazi mpaka ushangae
 
Vyovyote vile mimi sitaki kuajiriwa na hii serikali ya CCM maisha yangu yote.
 
Watu wana maana tofauti kuhusu kazi na mifumo ya maisha waliochagua. Jinsi unavyotamani kuendesha maisha Yako is central katika kuhamua ufanye kazi gani na Kwa mfumo gani, kuajiriwa au kujiajiri.

Kuna ajira ndugu zangu zinalipa, ukizipata hutotamani kusikia hustle za watu waliojiajiri. Lakini Kuna stage ya biashara za kujiajiri ukifika hutokaa umuelewe mtu anaekimbilia kuajiriwa. Lakini kundi hili Lina watu wachache sana.

Watu wengi tupo hapa kundi la kati la maangaiko. Full kupigika na frustration kibao. Kuna ajira pamoja na faida alizo orodhesha mleta mada hutokaa hata uzione kama ni faida but daily itakua stress tu. Kadhalika hata hao wanaojiajiri na mitaji hii ya mama lishe , ni husle tu daily hakuna mapumziko.

Kifupi ni kuwa ikiwa kazi Yako haikupi zaidi ya mahitaji ya chakula na pesa ya pango ujue Bado uko kwenye kundi la utumwa.
 
Na walio ajiriwa na kampuni za kifamilia, yani namanisha ukoo mzima maboss. Ukifanikiwa tu kidogo wanakuamisha mkoa imradi tu usiendelee mnatushauli nn?
 
Na waalimu wa shule ya msingi pia mmewajumlishia hapa au
 
Unazn

Unamtolea mfano Robert kiyosaki upo serious kwel wakat kiyosaki kwa maoni yake anashaur watu wajiajir na sio kuajiriwa...
 
Ni kweli nakubali lakini kujiajiri kunaleta stress asikuambie mtu, mimi nilijifanya kukataa kwenda naona mambo yanakuwa magumu zaidi najuta kila siku naumiza akili.
Omba tena ajira serikalini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…