Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

Na asipoweza je...
Hiyo ni probability mkuu...
Ila huku Serikalini ni constant non matter what... 🤓🤓🤓🤓🤓
 
Aliyeajiriwa ni katika sekta gani na aliyejiajiri ni katika sekta gani, tuanzie hapo
 
Faida za kuajiriwa Serikalini
1. Rahisi kupata visa ya nchi yeyeto wanaamini huwezi zamia
2. Kwa mangi unakopa bila shida
3. Unakopa bank
4. Ukiimwa mda mrefu unaendelea tu kula mshahara kitandani
5. Job security kufukuzwa ni process
6. Ruhusa ya kusoma ndani au nje
7. Ukisimamishwa kazi mshahara na maslai yako pale pale ,huku ukiwa na mda wa kutosha kufanya mishe zako mfano bize na shule, biashara au kuajiriwa private company
8. Likizo bila malipo
9. Hela ya pension uzeeni ukistaafu inaingia tu muhimu upambane uwe mkubwa piga tu shule pesheni yako ya mwezi unamzidi graduate.
 
Mbona mnakopa kopa kwa waliojiajiri sasa? Kama kuajiriwa na Serikali raha? Na mikausha damu inawatafuna vizuri, muuza vitumbua amejenga na anasomesha, we ulieajiriwa na Serikali unazeekea kwenye nyumba za kota.
 
Kujiajiri inahtaji roho ngumu Sana, juhudi na uvumilivu, ni kweli Kwa miaka 15 ya Kwanza aliyeajiriwa atakula bingo Ila baada ya hapo hampati aliyejiajiri hata robo Labda aliyejiajiri awe Fala.
 
Wabunge, mawaziri na maraisi wale wote wamejiajiri na sio waajiriwaa so kujiaajiri ni better kuliko kuajiriwaa

Soon hata mimi nitaenda kujiajiri kwenye biashara ya siasa inalipa sana Afrika.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…