MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 5,392
- 14,646
Rafiki napenda kukiri nilikujibu nikiwa nimelewa daktari wangu hivyo kila nilichojibu fanya kuwa ni client aliyekuwa chini ya uangalizi .Sawa nimekuelewa. Huyu Mkulima wa jembe la mkono yeye hajajiajiri?[emoji38][emoji38]
Hukatazwi kutoa maoni. Mi nimeshafanya biashara, nilikua na biashara kubwa tu na nilifunga. So huna cha kuniambia nna experience zoteHii akili ni ya chuo kikuu, anayebisha aseme.Kuajiriwa ni utumwa.
Tatizo la vijana wengi hawaaminiki pia sio wavumilivu + ujuaji mwingi huwezi amini pamoja na degree kichwani watu wanaanzia kubebeshwa ma boksi utabeba mkuu Kwa 250,000 monthly...Mkuu wakati unatupa nasaa sio mbaya ukatupa na connection pia mtaani hali sio shwari kutoboa bila kushikwa mkono ni mtiti
Mbona mnakopa kopa kwa waliojiajiri sasa? Kama kuajiriwa na Serikali raha? Na mikausha damu inawatafuna vizuri, muuza vitumbua amejenga na anasomesha, we ulieajiriwa na Serikali unazeekea kwenye nyumba za kota.
Tena walimu wanakula bata sana makazini na wana likizo nyingi sana
Tena walimu wanakula bata sana makazini na wana likizo nyingi sana
yes upo sahihiAliejiajiri ana nafasi ya kukua.
Nitakupa mfano mdogo tu.
Juzi kati nilikutana na mdogo wangu mmoja nieyewahi ishI nae huko udogoni. Anapush SUBIE. Wakati naanza kazi huyu dogo alikuwa Chuo.
Amejiajiri na kaajiri watu kadhaa.
Wakati bro wake hata Toyo Sina.
Huu ni mfano mdogo tu
Nchi inaendeshwa na waliojariwa ndio maana ikifika mwisho wa mwezi kuanzia kwenye dalala na maduka mahesabu yanakuwa makubwa na mzunguko wa hela unaongezeka mwisho wa mwezi ila baadae hali inakuwa tete nashangaa wanaoponda waliojariwa wakati ndio wanaowapa jeuri waliojiajori.Mfano alieajiriwa Serikalini na aliejiajiri wote wanaingiza milioni 1 kwa mwezi?
1. Aliejiajiri anaondoka kwake asubuhi kurudi hadi usiku, alieajiriwa Serikalini anaondoka asubuhi anamaliza kazi zake jioni na bado huko ofisini kuna muda anapata kufanya mambo yake.
2. Aliejiajiri anaweza asizijue weekend lakini alieajiriwa Serikalini anapumzika Jumamosi na Jumapili.
3. Aliajiajiri hana sikukuu za kiserikali, alieajiriwa Serikalini haendi kazini idi (hata kama ni mkristo), mwaka mpya, Mei mosi, sabasaba, siku ya Nyeyere, siku ya uhuru, mapinduzi, nanenane, idi, pasaka, n.k
4. Aliejiajiri akiumwa inabidi ajikaze aende tu lasivyo kipato kinaweza kutikisika, alieajiriwa Serikalini akiumwa anatoa notisi.
5. Aliejiajiri hana likizo, muajiriwa ana likizo siku 30 kila mwaka.
6. Aliejiajiri anaweza kufilisika endapo duka likiungua, akiumwa kwa muda mrefu, akiibiwa, n.k. alieajiriwa Serikalini nafasi yake na mshahara wake ni uhakika
7. Aliyeajiriwa Serikalini mkopo anapata kwa masharti nafuu na KWA haraka, aliyejiajiri hawezi pata mkopo kibwerere.
8. Alieajiajiriwa na Serikali ana muda mwingi wa kuwa na familia yake kuzidi aliejiajiri. ikifika jioni, weekend, sikukuu za serikali, likizo, n.k. ana muda wa kutosha wa kuwa na familia yake
9. Alieajiriwa Serikalini anaweza kuwa ma biashara zake za kumuongezea kipato, hizi biashara zinaweza kurithiwa na watoto wake.
Mwisho niseme Kujiajiri watu wanameki bingo lakini ni wale wenye roho ngumu sana, juhudi, kujibana na uvumilivu, kinyume na hapo kukua ni kazi sana mara kumi heri mtu alie Serikalini.
Inasikitisha sanaKuajiriwa ni utumwa. Eti mwezi mzima siku 30 ndio unapata laki 5 au 6.
Asojua maana usimpe maana !Ila in the long run,
Aliyejiajiri atakuwa na faida zaidi.
"Kwa mangi unakopa bila shida " yaani unajisifu na ajira ya serikali halafu moja ya tegemeo lako ni mtu aliyejiajiri!Faida za kuajiriwa Serikalini
1. Rahisi kupata visa ya nchi yeyeto wanaamini huwezi zamia
2. Kwa mangi unakopa bila shida
3. Unakopa bank
4. Ukiimwa mda mrefu unaendelea tu kula mshahara kitandani
5. Job security kufukuzwa ni process
6. Ruhusa ya kusoma ndani au nje
7. Ukisimamishwa kazi mshahara na maslai yako pale pale ,huku ukiwa na mda wa kutosha kufanya mishe zako mfano bize na shule, biashara au kuajiriwa private company
8. Likizo bila malipo
9. Hela ya pension uzeeni ukistaafu inaingia tu muhimu upambane uwe mkubwa piga tu shule pesheni yako ya mwezi unamzidi graduate.
Acha kukariri. Nimejiajiri. Leo notafanya kazi 4 hours. Nitapata 110000/=Mfano alieajiriwa Serikalini na aliejiajiri wote wanaingiza milioni 1 kwa mwezi?
1. Aliejiajiri anaondoka kwake asubuhi kurudi hadi usiku, alieajiriwa Serikalini anaondoka asubuhi anamaliza kazi zake jioni na bado huko ofisini kuna muda anapata kufanya mambo yake.
2. Aliejiajiri anaweza asizijue weekend lakini alieajiriwa Serikalini anapumzika Jumamosi na Jumapili.
3. Aliajiajiri hana sikukuu za kiserikali, alieajiriwa Serikalini haendi kazini idi (hata kama ni mkristo), mwaka mpya, Mei mosi, sabasaba, siku ya Nyeyere, siku ya uhuru, mapinduzi, nanenane, idi, pasaka, n.k
4. Aliejiajiri akiumwa inabidi ajikaze aende tu lasivyo kipato kinaweza kutikisika, alieajiriwa Serikalini akiumwa anatoa notisi.
5. Aliejiajiri hana likizo, muajiriwa ana likizo siku 30 kila mwaka.
6. Aliejiajiri anaweza kufilisika endapo duka likiungua, akiumwa kwa muda mrefu, akiibiwa, n.k. alieajiriwa Serikalini nafasi yake na mshahara wake ni uhakika
7. Aliyeajiriwa Serikalini mkopo anapata kwa masharti nafuu na KWA haraka, aliyejiajiri hawezi pata mkopo kibwerere.
8. Alieajiajiriwa na Serikali ana muda mwingi wa kuwa na familia yake kuzidi aliejiajiri. ikifika jioni, weekend, sikukuu za serikali, likizo, n.k. ana muda wa kutosha wa kuwa na familia yake
9. Alieajiriwa Serikalini anaweza kuwa ma biashara zake za kumuongezea kipato, hizi biashara zinaweza kurithiwa na watoto wake.
Mwisho niseme Kujiajiri watu wanameki bingo lakini ni wale wenye roho ngumu sana, juhudi, kujibana na uvumilivu, kinyume na hapo kukua ni kazi sana mara kumi heri mtu alie Serikalini.
Inategemea na kiasi unacholipwaAisee Kuajiriwa Hapana ni Mateso.
Kuingia kwanza kwenye kuajiriwa ndio mziki ulipo. It is not a decision for you to make. Ila kujiajiri ball is on your court.Waingie kwanza kuajiriwa.
kabisa mkuuMi ninachoamini kila mtu ana namna yake ya kutoka kimaisha.
Usiyejiariwa ka kope kama utapewa"Kwa mangi unakopa bila shida " yaani unajisifu na ajira ya serikali halafu moja ya tegemeo lako ni mtu aliyejiajiri!
Faiza nakuzimia bibi.Dunia nzima kuwa mtumwa serikalini ni mterenko.