Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

Tanzania ukiajiriwa Serikalini ni raha kuzidi kujiajiri kwa kipato sawa na mshahara wa aliyeajiriwa

Sawa nimekuelewa. Huyu Mkulima wa jembe la mkono yeye hajajiajiri?[emoji38][emoji38]
Rafiki napenda kukiri nilikujibu nikiwa nimelewa daktari wangu hivyo kila nilichojibu fanya kuwa ni client aliyekuwa chini ya uangalizi .

Kuajiriwa ni raha bwana yaani nalewa mpaka katikati ya wiki ? Njoo wewe unayepambana kumake

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu wakati unatupa nasaa sio mbaya ukatupa na connection pia mtaani hali sio shwari kutoboa bila kushikwa mkono ni mtiti
Tatizo la vijana wengi hawaaminiki pia sio wavumilivu + ujuaji mwingi huwezi amini pamoja na degree kichwani watu wanaanzia kubebeshwa ma boksi utabeba mkuu Kwa 250,000 monthly...

Kuna muda nimekua na moyo mgumu kusaidia watu sababu wabongo wengi wetu wataiba na kuku disappoint ila sio woteeeee

Japo Kuna maboss mizinguo pia ila naamini ni ngumu kutoboa bila connection ndio maana Mimi Ili nikupe connection nenda ukamsome LAVALAVA Mpaka kusainishwa WASAFI 😊😊😊 utapimwa sanaa utu nidhamu yako...
 
Mfano alieajiriwa Serikalini na aliejiajiri wote wanaingiza milioni 1 kwa mwezi?

1. Aliejiajiri anaondoka kwake asubuhi kurudi hadi usiku, alieajiriwa Serikalini anaondoka asubuhi anamaliza kazi zake jioni na bado huko ofisini kuna muda anapata kufanya mambo yake.

2. Aliejiajiri anaweza asizijue weekend lakini alieajiriwa Serikalini anapumzika Jumamosi na Jumapili.

3. Aliajiajiri hana sikukuu za kiserikali, alieajiriwa Serikalini haendi kazini idi (hata kama ni mkristo), mwaka mpya, Mei mosi, sabasaba, siku ya Nyeyere, siku ya uhuru, mapinduzi, nanenane, idi, pasaka, n.k

4. Aliejiajiri akiumwa inabidi ajikaze aende tu lasivyo kipato kinaweza kutikisika, alieajiriwa Serikalini akiumwa anatoa notisi.

5. Aliejiajiri hana likizo, muajiriwa ana likizo siku 30 kila mwaka.

6. Aliejiajiri anaweza kufilisika endapo duka likiungua, akiumwa kwa muda mrefu, akiibiwa, n.k. alieajiriwa Serikalini nafasi yake na mshahara wake ni uhakika

7. Aliyeajiriwa Serikalini mkopo anapata kwa masharti nafuu na KWA haraka, aliyejiajiri hawezi pata mkopo kibwerere.

8. Alieajiajiriwa na Serikali ana muda mwingi wa kuwa na familia yake kuzidi aliejiajiri. ikifika jioni, weekend, sikukuu za serikali, likizo, n.k. ana muda wa kutosha wa kuwa na familia yake

9. Alieajiriwa Serikalini anaweza kuwa ma biashara zake za kumuongezea kipato, hizi biashara zinaweza kurithiwa na watoto wake.

Mwisho niseme Kujiajiri watu wanameki bingo lakini ni wale wenye roho ngumu sana, juhudi, kujibana na uvumilivu, kinyume na hapo kukua ni kazi sana mara kumi heri mtu alie Serikalini.
Nchi inaendeshwa na waliojariwa ndio maana ikifika mwisho wa mwezi kuanzia kwenye dalala na maduka mahesabu yanakuwa makubwa na mzunguko wa hela unaongezeka mwisho wa mwezi ila baadae hali inakuwa tete nashangaa wanaoponda waliojariwa wakati ndio wanaowapa jeuri waliojiajori.
 
Faida za kuajiriwa Serikalini
1. Rahisi kupata visa ya nchi yeyeto wanaamini huwezi zamia
2. Kwa mangi unakopa bila shida
3. Unakopa bank
4. Ukiimwa mda mrefu unaendelea tu kula mshahara kitandani
5. Job security kufukuzwa ni process
6. Ruhusa ya kusoma ndani au nje
7. Ukisimamishwa kazi mshahara na maslai yako pale pale ,huku ukiwa na mda wa kutosha kufanya mishe zako mfano bize na shule, biashara au kuajiriwa private company
8. Likizo bila malipo
9. Hela ya pension uzeeni ukistaafu inaingia tu muhimu upambane uwe mkubwa piga tu shule pesheni yako ya mwezi unamzidi graduate.
"Kwa mangi unakopa bila shida " yaani unajisifu na ajira ya serikali halafu moja ya tegemeo lako ni mtu aliyejiajiri!
 
Mfano alieajiriwa Serikalini na aliejiajiri wote wanaingiza milioni 1 kwa mwezi?

1. Aliejiajiri anaondoka kwake asubuhi kurudi hadi usiku, alieajiriwa Serikalini anaondoka asubuhi anamaliza kazi zake jioni na bado huko ofisini kuna muda anapata kufanya mambo yake.

2. Aliejiajiri anaweza asizijue weekend lakini alieajiriwa Serikalini anapumzika Jumamosi na Jumapili.

3. Aliajiajiri hana sikukuu za kiserikali, alieajiriwa Serikalini haendi kazini idi (hata kama ni mkristo), mwaka mpya, Mei mosi, sabasaba, siku ya Nyeyere, siku ya uhuru, mapinduzi, nanenane, idi, pasaka, n.k

4. Aliejiajiri akiumwa inabidi ajikaze aende tu lasivyo kipato kinaweza kutikisika, alieajiriwa Serikalini akiumwa anatoa notisi.

5. Aliejiajiri hana likizo, muajiriwa ana likizo siku 30 kila mwaka.

6. Aliejiajiri anaweza kufilisika endapo duka likiungua, akiumwa kwa muda mrefu, akiibiwa, n.k. alieajiriwa Serikalini nafasi yake na mshahara wake ni uhakika

7. Aliyeajiriwa Serikalini mkopo anapata kwa masharti nafuu na KWA haraka, aliyejiajiri hawezi pata mkopo kibwerere.

8. Alieajiajiriwa na Serikali ana muda mwingi wa kuwa na familia yake kuzidi aliejiajiri. ikifika jioni, weekend, sikukuu za serikali, likizo, n.k. ana muda wa kutosha wa kuwa na familia yake

9. Alieajiriwa Serikalini anaweza kuwa ma biashara zake za kumuongezea kipato, hizi biashara zinaweza kurithiwa na watoto wake.

Mwisho niseme Kujiajiri watu wanameki bingo lakini ni wale wenye roho ngumu sana, juhudi, kujibana na uvumilivu, kinyume na hapo kukua ni kazi sana mara kumi heri mtu alie Serikalini.
Acha kukariri. Nimejiajiri. Leo notafanya kazi 4 hours. Nitapata 110000/=

Likizo sioni umuhimu wake maana kila siku najiona nipo likizo. Likizo ina maana ukiwa mfungwa.
 
Ni kwel kujiajiri sio kitoto.Hii ni dedication ya watu wazima haswaaa. Ni kazi nzito mnoo ila kwa ajili ya ku guarantee future sio yako tu bali na ya kizaz chako, ni afadhal kujitoa muhanga ujiajiri.
NB
Ajira sio kitu kibaya maana hata sisi tuliojiajiri , tuna waajir pia wengine ili ku leverage mission zetu.
 
Back
Top Bottom