Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

Waache elimu wauze mawigi๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio balaa tupu maana mkononi mtaji una elfu hamsini, unabaki kubishana tu vijiweni kati ya chama na pacome nani mkali utaishia kujua ofisi zote za kubeti na kama haitoshi utamsifu mama utakuwa chawa utapauka kama viatu vya mwalimu wa shule ya msingi.

Ndio maana tunaanza kuoneana wivu hadi tunaanza kutamani uchawi... Na ndio sisi tunaunga mkono kila hoja ya wapinzani ila tunakula ChiChieM na kussuport kikokotoo, mwisho nawashauri wadogo zangu kama hauna ndugu maofisini tena wenye vyeo usiwasumbue wazazi kukulipia ada bora ufanye mtaji uanze kuuza hata viatu au mawigi utanishukuru baadae.​
๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
Kuna dogo nilimaliza naye chuo mwaka 2018, yeye hakuleta sijui mbwembwe za usomi alipomaliza tu chuo kuna ndugu yake alimnunulia bajaji aisimamie, jamaa alipambana na ile bajaji kwa uaminifu, baadaye kuna ticha mmoja tulikuwa naye group discussion moja na huyo dogo akanunua bajaji na kumkabidhi aisimamie akawa anafanya vizuri, kuna lecturer wetu pia baada ya kuona fighting spirit ya dogo na uaminifu wake naye akamkabidhi bajaji then akamuunganisha na jamaa wengine wapo serikalini kwenye vitengo wakamkabidhi bajaji zao azisimamie dogo akajikuta anasimamia bajaji nyingi mpaka wenzake wakawa wanamuita Issa mabajaji pia wakawa wanamshtutumu kuwa ni mshirikina. Dogo now kajenga nyumba yake uyole kamfungulia mkewe duka wale jamaa wa serikalini mmoja wao kanunua gari la mizigo linasimamiwa na huyo huyo dogo, leo hii anapiga hatua anatuzidi mpaka inservice ambao tulikuwa naye chuo na wenzake aliomaliza nao mpaka leo wanasubiri ajira za ualimu.
Dunia haiko fair mkuu, kama kulaumu mfumo wa elimu utalaumu sana, serikali utailaumu kila leo.

Cha kufanya ni kuisaidia nafsi yako kwanza, mfumo wa elimu sio rafiki lakini sio kikwazo cha wewe kujitafuta.
 
WaTz msiwe serious sana maisha ndio haya haya si tunakula bia APA hii thread imenipa connection nimefatwa pm imeรฑipa bia na michongo nimepata... Nyie mnaosema bado sijasema mara hii thread ya kipumbavu kaa humo ๐Ÿ’ฉ
 

Attachments

  • PXL_20240514_175341409.mp4
    30.6 MB
WaTz msiwe serious sana maisha ndio haya haya si tunakula bia APA hii thread imenipa connection nimefatwa pm imeรฑipa bia na michongo nimepata... Nyie mnaosema bado sijasema mara hii thread ya kipumbavu kaa humo ๐Ÿ’ฉ
Wanakudanganyaga Kuna maskini jeuri sio?
 
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio balaa tupu maana mkononi mtaji una elfu hamsini, unabaki kubishana tu vijiweni kati ya chama na pacome nani mkali utaishia kujua ofisi zote za kubeti na kama haitoshi utamsifu mama utakuwa chawa utapauka kama viatu vya mwalimu wa shule ya msingi.

Ndio maana tunaanza kuoneana wivu hadi tunaanza kutamani uchawi... Na ndio sisi tunaunga mkono kila hoja ya wapinzani ila tunakula ChiChieM na kussuport kikokotoo, mwisho nawashauri wadogo zangu kama hauna ndugu maofisini tena wenye vyeo usiwasumbue wazazi kukulipia ada bora ufanye mtaji uanze kuuza hata viatu au mawigi utanishukuru baadae.​
Nakujibu!

Baada ya mzilankende kusitisha Ajira za mpigo kama za Mzee wetu jk alietuweka wengine mjini!

Bhas idadi ya wasionna Ajira iliongezeka Sana kwa miaka 6 ya chato!

Sasa aliposhika huyu akakuta hali ndivyo ilivyo na yeye akaona wagebill ya mishahara itakua kubwa na miradi ni mingi ya kumalizia na yeye akanyuti TU,Na sio kwamba Akira hazipo,zipo nyingi Sana lakini serikali inajiona Haina fedha ya kuajiri wakati zipo ndizo hizo wanazolipana posho na mishahara minono wao wanasiasa!

Kwasasa Graduate ni la Saba waliokula boom coz hakuna tofauti kabisa ndio maana wanachekwa ambao hawana ajira!!

Anza kunipigia chapuo Mimi niwe coz Nina ajira million Moja tayari ,kwahio graduate hawatochekwa tena!
 
Wasomi wa sasa ni wapumbavu sana kwa nn tusijioganize tuipindue CCM madarakani? Maana ndo inayo tusotesha mtaani mpaka tunaonekana hamnazo wakati tumefanya maresearch kibao.
 
Oyaaah nimepiga kura mara tatu na mara zote nimechagua wapinzani ila wameshinda CCM hawa wapuuzi kuwatoa sio rahisi kihivyo ndio maana nawakubali sana Jatu na mr kuku
Wasomi wa sasa ni wapumbavu sana kwa nn tusijioganize tuipindue CCM madarakani? Maana ndo inayo tusotesha mtaani mpaka tunaonekana hamnazo wakati tumefanya maresearch kibao.
 
Hii inaitwa victimization mentality !!! Ogopa sana maana ina ambukizwa kama ukoma. Kuna waliopata nafasi na wapo ambao bado hawajapata. Kwa unaye soma ujumbe huu, tafadhali usikate tamaa, pambana kwa nguvu zako zote, mshirikishe Mungu kwenye mapambano yako, kuna siku tu isiyo na jina mambo yatakaa sawa. Tough moments are there to test and shape us to have a courage to face our challenges !!! Keep heads up champs see you there at the top !!!
 
Subira ipo ila wengi hujikuta wana msongo mkubwa wa mawazo unaowaingiza katika tabia za ajabu na kupelekea hali kuwa mbaya zaidi.

Hapo kwenye kazi yeyote wasomi wengi tunajiona special sana kwa kuchagua kazi za kufanya, wengi hawataki kufanya kazi za nguvu sababu ya usomi wao. Ni bora kufanya kazi ya nguvu upate visenti vya kukidhi mahitaji kuliko kukaa bure kusubiri ajira ambayo hujui utaipata lini.
UPo sahihi mkuu
 
Tofauti na ninavyosema kila siku. Tatizo sio elimu, bali tatizo ni vijana wenyewe. Ni naive na wajinga kupitiliza. Mpaka leo kuna mtu plan yake ya maisha ni moja tu, kusoma, hana backup yoyote wala contingency plan. Na anaamini maisha ni yale yale ya kukariri tangu miaka 30 nyuma. Kwamba soma, nenda chuo, para kazi na uishi maisha mazuri. Kitu ambacho ni ujinga kupitiliza. Sababu kiuhalisia maisha ni magumu na kamwe hautopata unachokitaka, bali unachostahili.

Nikisema kijana simaanishi mimi ni libabu fulani lenye mihela yake. Fuk no. Mimi ni kijana vilevile. Na uhalisia ninaouna ni vijana wengi kuanzia 18 na kuendelea ni wajinga kupita viwango. Hawajitumi, hawaangaiki, hawana akili, wavivu, delusional na wajuaji wapuuzi wapuuzi.

Fursa zipo nyingi lakini kwa ujinga wao hawawezi kuziona. Ukienda nje utakuta vijana wengi wanajishuhulisha na mambo mengi yanayooendelea duniani kwa sasa.
Technology inayokua kwa kasi kama AI ambayo unaweza kujifunza skills zozote na kukufundisha kama mtoto if wewe ni bichwa maji.

Application development kwa kuchukua idea za kila siku na kuzimplement mkononi.

YouTube kwa kutengeneza content mbalimbali za kipekee, even kutumia elimu yako kuonyesha profession yako, sababu ukiingia YouTube kwenye content za Tanzania utakuta kumejaa uchafu uchafu tu na visingeli. Wakati nje wenzetu wanaitumia kama profession kabisa, utakuta mtu anapost documentary zenye production quality safi za science, technology, history na Geography zaidi ya Discovery Science au National Geography. Views kuanzia 5 million na kuendelea. Na anaweza kuwa mtu mmoja au timu ya watu kadhaa. Entertainment kama ni mtu mwenye kipaji fulani na mambo mengi. Engineering projects au science project kama wewe ni msomi kweli.

Hayo mambo yanafanyika dunia nzima na vijana wote kuanzia USA, UK na Europe nzima, Korea na Japan.

Ninaposema watu wajiajiri na wafanye biashara huwa nashangaa wapodhani ni kuuza viatu na sambusa kariakoo. Kitu ambacho kinazidi kuprove jinsi gani Taifa limejaa vijaa wajnga, uncultured, unsophisticated na naive kupitiliza. Wakati hayo niliyoyasema yote ni kujiajiri na biashara vilevile.

Tatizo la Tanzania na wananchi wake kwa ujumla ni kuoverestimate official professions kama ndio njia na fursa pekee ya kuishi maisha bora, kiasi kwamba watu wote wamerundikana huko na serikali kushindwa kuhimili kuajiri kila mtu, kitu ambacho ni uhalisia kwa dunia nzima. Na ndio maana watu wenye akili wameamua kutengeneza fursa za aina nyingine kama nilizozieleza na watu wenye akili, wanaojitambua na kuelewa uhalisia wa maisha kwenda huko.

Kama ninavyosema kila siku, fursa zipo ila unahitaji akili na exposure kuziona. Na kama vijana wakiamua kuhangaika kweli basi Taifa litaona vilevile na kuweka mkazo kwenye hizo sekta. Sababu wenzetu wamewekeza kila sehemu, sio kwenye elimu tu. Bali hasa entertainment.

Kama vijana wangekuwa serious na Tanzania ingeamua kujenga theaters za kutosha kwa usaidizi wa wawekezaji au lah. Kunyanyua Art na Cinema Schools ili kutengeneza real actors (waigizaji kweli) kama Lupita Nyong'o, directors na cinematographers kweli. Basi Entertainment ingekuwa moja ya fursa kubwa nchini the likes of Hollywood. Hivi fikiria Movie moja kama Dune part 2 ambayo imeingiza Trillion 1.4, ingekuwa imetengenezwa Tanzania kwa kiswahili, nchi yenye watu zaidi ya million 60 na iuze kwa watu at least 30 million. Ingetoa kazi ngapi kwa vijana? Kuna Actors, production crew, graphics designers, vfx artists, costume designers (washonaji nguo), walinzi nk. Movie kama hii inaweza toast ajira kwa watu zaidi ya 10,000 na movie kama hizo zinatengenezwa kila siku. Span from miezi 6 na kuendelea. Watu wanaposema USA ni land of opportunities for everyone wanamaanisha ndio kama hivyo.

Vilevile technologically. Kama vijana wangekuwa kweli wenye njaa, curiosity na ubunifu academically, basi serikali au watu binafsi wangeshawishika kuwekeza kwenye technology ikiwemo kujenga Laboratories na Technology Hubs sehemu ambazo vijana wenye akili watakutana na kujumuika kubuni na kutengenza Technologies mbalimbali kurahisisha maisha na kuongeza fursa nchini. Ukienda Marekani utakuta Silicon Valley. Hii ni sehemu maalumu kwa technology, lazima niende huko kuangalia wapi taifa letu linakwama.

Right now nasoma Mechanical Engineering, lakini sina plan ya kuja kuajiriwa hata kidogo.

Hivyo Tatizo sio elimu, bali tatizo ni vijana wenyewe. Kama unaona nilichokiandika hukielewi basi jua nimekulenga wewe.
Naona umeandika haya baada ya kushiba ugali maharage. Nyie ndo watu ambao mkifanikiwa mnaona ambao hawajafanikiwa ni wajinga. Maliza chuo, njoo mtaani akili yako ikusaidie kutoboa, ndo uje uandike sera zako hapa Andrew Tate
 
Naona umeandika haya baada ya kushiba ugali maharage. Nyie ndo watu ambao mkifanikiwa mnaona ambao hawajafanikiwa ni wajinga. Maliza chuo, njoo mtaani akili yako ikusaidie kutoboa, ndo uje uandike sera zako hapa Andrew Tate
Exactly. Wewe ndiyo niliyekuwa nakuongelea. Ni mjinga na huna akili. Na nasikitishwa na hili kama kijana nchini. It's truly saddening.

Mimi naujua uhalisia. That's why ni Application developer, Graphics designer, YouTuber na Freelancer. Hatufanani, I have exposure of the bigger picture, I think differently. Mimi siwezi kuja mtaani sababu hicho kitu kwangu hakipo. Hakuna mtaa, uko wewe tu.

You see, the moment nimeandika hivi. Leo nasikia bunge lina mpango wa kuanzisha technology and innovation hub, including fiber circulation around the country na Artificial Intelligence utilization. Seems like wanapita humu, wanasikia na wanaamka. And that's a great sign for the future generations. It's a great start.

Najua haunielewi, but I won't stop educating you little piece of brain.
Singapore iko pale sababu ya strategical long term plan that's include environmental utilization, industrialization to eradicate a large portion of unemployed. Technological advancements, and Entertainment parks including Casinos. Hii imepelekea kuleta a ridiculous amount of investors from outside the country.
Nchi ambayo tumepata nayo uhuru at the same time, leo hii ni tajiri duniani na wametuacha mbali.

Hii haikuhusu wewe wala mimi, bali the next na future generations. Ni long term plan. The reason tuko kwenye hali hii, nchi haina opportunities na lack of employment ni mazao ya kizazi kilichopita kufikiria kama wewe. You're doomed.

Here's my advice: Sit down and cry harder, I can't hear you from all the way back here. Let that sink in.
 
Maliza chuo mdogo wangu maneno yako yana ushawishi ila yamekaa kinadharia njoo mtaani ufanye practical kaa miaka mitano afu rudi kutupa mrejesho kwenye huu uzi.. kwamba video za youtube quality aisee kaz kweli kweli ๐Ÿ™Œ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mimi nimekuwa mdogo wako? Hahaha! What a Fukin idiot. No offense but you're an idiot. Usingeandika hivyo, you don't derseve my respect.

Nilijua utasema hivi as ndio hoja pekee kupinga statement yangu.
It's funny how ukimention kusoma, mtu anadhani uko chuo na mtoto mdogo. Unadhindwa jiuliza huu ni mwaka wa 5 au degree ya 2.

And yes mimi nafanya Youtube. Natengeneza high quality content na matunda ya hardwork yangu nayaona. I have exposure and curiosity, najituma na nina plan nzima ya maisha na sio kuajiriwa means sihitaji kuapply chochote as tayari nimeshapply kila kitu. Hapa naongea kitu ninachokikujua na ninachokifanya mimi mwenyewe.

Ukienda nje utakuta vijana kama MrWhostheboss na MKBHD, huyu jamaa ni very inspirational, yeye anatengeneza phone reviews. Na ana office kubwa inayoworth a few dozen us million dollars sababu ya YouTube na sponsors kibao waliojaa youtube. Inasikitisha kuona hata haujui jinsi gani youtube inaweza kubadilisha maisha ya mtu na kutengeneza a few hundred to thousand bucks a week. Unatokea wapi mkuu? Mkoani? Hahaha! Inasikitisha jinsi gani watu hatufanani. No wonder unaona nilichokiandika ni completely fictional na lugha gongana.

Na long term plan ni kuwa na taifa lenye vijana wenye exposure na uwezo wa kufikiria nje ya box. Wewe ni case nyingine, na nafasi yako ilishapita. You're doomed. Ninachokiandika hakinihusu mimi wala wewe bali the future generations of our country.

That's exactly my point. Theory ndio sababu Japan walisurender in the 40s Mbele ya USA. Na ndio sababu kuna ndege na meli, unatumia simu right now unayotumia kulalamika, kuna umeme na engines za madaladala analopanda dada yako.

But it seems like serikali unlike you, inaelwa umuhimu wa theories.
Leo serikali ina mpango wa kuanzisha technology Hubs, exactly nilichokuwa nakisema kila siku. A place where the true intelligents and curious driven mentalities unite. To think, ask, judge, tear apart and solve. Na kwa hili nimepata hope kwa kitendo tu cha serikali kumention hichi kitu, let alone the execution. Sio wasomi ili wapate pesa ya kula. Don't you see you're a goddamn liability and total useless to the country? Kama wewe umesoma mpaka chuo na uko hivyo. Je kuna faida gani ya watoto kusoma? You see my point?

Vyuo vya wenzetu vinagenerate kina Elon Musk, Bill Gates, Mark Zuckerberg, Jeff Bezos, yule jamaa wa ChatGPT ninayoitumia kufanya researches. Vyuo vyao vinatengeneza Idealists na visionaries. Lakini vyuo vyetu vinatengeneza watu kama wewe, na sio wewe tu, bali maelfu kila mwezi. Na sikulaumu sababu makosa sio yako bali ya kizazi kilichopita.

Kama hauwezi kufikiria, kuimagine na kutengeneza theory. Then unastahili kuchekwa, kutukanwa na kulia.

But it doesn't matter sababu siku zote kila Taifa litahitaji consumers. I reckon we're different and we can't all be thinking machines.

Naelewa unapotokea na naheshimu hilo.
So usichukulie ninayoyaandika personally bali kama part ya argument. If that's what it is.
 
Back
Top Bottom