bolivia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2021
- 3,083
- 5,179
Sio kweli hawa wasomi uchwara kwenye hizi taasisi ilikuwaje wakafika hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio balaa tupu maana mkononi mtaji una elfu hamsini, unabaki kubishana tu vijiweni kati ya chama na pacome nani mkali utaishia kujua ofisi zote za kubeti na kama haitoshi utamsifu mama utakuwa chawa utapauka kama viatu vya mwalimu wa shule ya msingi.
Ndio maana tunaanza kuoneana wivu hadi tunaanza kutamani uchawi... Na ndio sisi tunaunga mkono kila hoja ya wapinzani ila tunakula ChiChieM na kussuport kikokotoo, mwisho nawashauri wadogo zangu kama hauna ndugu maofisini tena wenye vyeo usiwasumbue wazazi kukulipia ada bora ufanye mtaji uanze kuuza hata viatu au mawigi utanishukuru baadae
Subira ipo ila wengi hujikuta wana msongo mkubwa wa mawazo unaowaingiza katika tabia za ajabu na kupelekea hali kuwa mbaya zaidi.Kabsa kimbindi cha kupitia msoto unapoteza kila kitu. Hilo lipo wazi sana. Wana tuwe na subira tu na kukaza kwa kazi yoyote
Wa kumodify ni msomi mwenyewe au ni mfumo?Ufunguo upo, lakini kitasa ndio kimebadilika. Hapa cha msingi ni ku-modify huo ufunguo.
Kwa kujazia tu japokuwa sitagusa sana personal details maana napenda ku hide identity yangu nitawapa story ila nitaifanya long story short..
Mimi nilimaliza chuo huko Dodoma nilisomea kozi ya Uchumi mwaka 2016, kumbuka apo sina experience ya biashara yoyote maana nimetumia maisha yote kusoma tangu nikiwa na miaka 6 duniani Yani 1999, nilivoingia mtaani nikaanza kuzunguka na vyeti mwaka 2017 wote bila mafanikio, nikaona sio kesi nikashika fursa ya kuanza kujitolea katika makampuni tofauti ikiwemo ya real estates, ofisi za manispaa kwa mwaka na nusu nikaona bado njia ni ngumu maana hata zikitokea nafasi za ajira wanapeana tu.
2018 nikaona isiwe tabu nikaanza kuzikamata fursa za kujiajiri kupitia biashara ndogondogo nikaanza na kubetisha kwa commission (premier betting wenyewe wanaita BINGO) hapo ndipo nikaanza kuona ndoto maana commission yao ni 7% Yani mtu akitoa mkeka wa buku mi napata sh 70 akitoa mkeka wa 10000 mi napata 700 mwanzo ilikua ngumu maana ata ukipata pesa ya kula unasema alhamdulillah na kwa uvumilivu nikifanya kwa mwaka mzima Io kazi ila baadae nikaona bado sio sawa nikatafuta ki frem (Temeke ) ndani ndani nikaanzisha biashara ya library Yani mambo ya kukodisha CD na kurusha nyimbo n.k lakini kutokana na competition kuwa kubwa nikaona nijiongeze kibunifu nikatafuta wachina nikawaomba mashine za Korokoro/ bonanza wengi wanaziita Dubu nikakimbizana nao kama miezi sita,
Mungu sio athumani nikatengeneza kimsingi kidogo hapo nikanawiri nikawa smart sina stress bebez nadaka na home nikatoka nikawa nimejiongeza kupanga japo mabondeni ila nilikuwa kwangu, huo mwaka 2020 sasa ndio nikaanza kuona maswahibu maana wamama na viongozi wa ule mtaa walianza kuipinga ile biashara kwa madai ya kwamba inajaribu watoto wao wanawaibia waje kucheza na kibaya zaidi wezi aka panya road wanapita na baadhi ya vitu inanilazimu kufunga biashara ile nikaangalia plan B chap chap nikazama kwenye biashara za Chips ambayo mwanzo ilikuwa ngumu maana ule mtaa nilikuwa nafahamiana na watu wengi sana na wengi walikuja ila kukopa ukiwakazia hawarudi tena pamoja na hizo changamoto Mungu ni mwema nilikaza hadi biashara ikasimama na nikafungua matawi mawili na maanisha nikawa nina ofisi 3 na vijana 6 mimi kazi yangu hapo ikawa ni kununua mzigo wa siku na ufuatiliaji tu wa hesabu kiboss.
Sasa kupitia manunuzi ya bidhaa kwa ajiliya hizo ofisi ndio nikaanza kuona fursa nyinginezo kwa mfano biashara ya viazi Yani kusupply viazi kutoka mkoani, biashara ya mafuta, biashara ya kuku na biashara ya nyama, nikaanza kuzifanyia research kwa muda kupitia watu niliokuwa nanunua kwao na kupitia masokoni hatimaye nikafanya hitimisho la kuingia kinaga ubaga kwenye biashara ya kuku maana niliona chain yake ni rahisi kuna uhakika wa mzigo na uhakika wa wateja na hata msingi wake sio mkubwa kama mafuta, nyama na viazi nikaamua kufunga zile biashara namaanisha matawi yote maana hata wale vijana walikuwa wananipiga sana japokuwa chochote kitu nilikuwa ninapata ila sio uhalisia wa kilichokuwa kinapatikana basi nikampigia mnada vitu vyote nikashika pesa nikazama kwa miguu miwili kwenye ile biashara, kwa kweli niliimaster japo mwanzo nilipata changamoto maana ile pesa ya msingi ilikufa yote tena ndani ya miezi miwili ila fast forward nlkuja kubwa supplier mkubwa tena mwenye mtandao wa wafugaji na wateja wengi ikiwemo hizi bar zenye majina makubwa za sinza na tabata hadi nikafungua butcher ya kisasa tu nani samaki kuku na nyama mixer mayai na sausage hapa nilikuwa sihitaji tena ajira na vyeti nilikua nishavirudisha kwa mama muda tu maana niliamini sitokuja kuhitaji ajira tena..
Katika story yote sijaelezea upande wa mahusiano ila alikuwepo binti wa kichaga nyuma yangu na alikuwa wa home tu na nilizaa nae watoto wawili na mwisho tulipita changamoto ikapelekea kutengana na kugawana kila kitu mimi nikiaishia kupata msongo wa mawazo nikauza kila nilchobaki nacho nikanununua boda nikaingia barabarani nikapata ajali nilivokaa sawa nikajikuta nalea watoto kwa kubeti tu na hapa ndio nimepauka kama viatu vya mwalimu wa shule ya msingi kila nikijitahidi kutafuta ajira hakuna nisharudi na watoto kwa mama network yangu hakuna mwenye msaada zaidi naishia kunywa konyagi za kununuliwa na hawa darasa la saba na form four niliowaacha mtaani tena ukiisha unaongezwa na kunadiwa kubwa huyu hana baya ye zake konyagi tu...
Oya sasa hizi mbuzi zinasema wasomi wajinga mara una vyeti huna elimu nazishangaa tu maana nikikumbuka msoto wa kuipata Io degree nimepiga calculus nimepambana na dissertation kudefend research na kuifanya bado form four na six acha nikabeti nipate hela ya konyagi
Kweli maana marafiki...ni kama wanamtenga hivi tena haswaa wale walioanza kufanikiwaUsipokuwa mvumilivu lazima uchizike. Katika kipindi cha msoto unapoteza karibia kila kitu. Marafiki, mpenzi n.k
Keep pushing brother 👊Oya mi wa 8 huu ni mikazo tu usmart unapotea tushajitolea sana ofisi za watu tushafuga sana kuku lakini hola inatia uchizi sometimes tunamaliza kunywa chai ndio tunapiga maswali au unalala ndio unakumbuka hujaoga siku ya pili
Sasa hapo wawezaje kuilaumu elimu mkuu wakati hata research uliweza kufanya tofauti na wa lasabaKwa kujazia tu japokuwa sitagusa sana personal details maana napenda ku hide identity yangu nitawapa story ila nitaifanya long story short..
Mimi nilimaliza chuo huko Dodoma nilisomea kozi ya Uchumi mwaka 2016, kumbuka apo sina experience ya biashara yoyote maana nimetumia maisha yote kusoma tangu nikiwa na miaka 6 duniani Yani 1999, nilivoingia mtaani nikaanza kuzunguka na vyeti mwaka 2017 wote bila mafanikio, nikaona sio kesi nikashika fursa ya kuanza kujitolea katika makampuni tofauti ikiwemo ya real estates, ofisi za manispaa kwa mwaka na nusu nikaona bado njia ni ngumu maana hata zikitokea nafasi za ajira wanapeana tu.
2018 nikaona isiwe tabu nikaanza kuzikamata fursa za kujiajiri kupitia biashara ndogondogo nikaanza na kubetisha kwa commission (premier betting wenyewe wanaita BINGO) hapo ndipo nikaanza kuona ndoto maana commission yao ni 7% Yani mtu akitoa mkeka wa buku mi napata sh 70 akitoa mkeka wa 10000 mi napata 700 mwanzo ilikua ngumu maana ata ukipata pesa ya kula unasema alhamdulillah na kwa uvumilivu nikifanya kwa mwaka mzima Io kazi ila baadae nikaona bado sio sawa nikatafuta ki frem (Temeke ) ndani ndani nikaanzisha biashara ya library Yani mambo ya kukodisha CD na kurusha nyimbo n.k lakini kutokana na competition kuwa kubwa nikaona nijiongeze kibunifu nikatafuta wachina nikawaomba mashine za Korokoro/ bonanza wengi wanaziita Dubu nikakimbizana nao kama miezi sita,
Mungu sio athumani nikatengeneza kimsingi kidogo hapo nikanawiri nikawa smart sina stress bebez nadaka na home nikatoka nikawa nimejiongeza kupanga japo mabondeni ila nilikuwa kwangu, huo mwaka 2020 sasa ndio nikaanza kuona maswahibu maana wamama na viongozi wa ule mtaa walianza kuipinga ile biashara kwa madai ya kwamba inajaribu watoto wao wanawaibia waje kucheza na kibaya zaidi wezi aka panya road wanapita na baadhi ya vitu inanilazimu kufunga biashara ile nikaangalia plan B chap chap nikazama kwenye biashara za Chips ambayo mwanzo ilikuwa ngumu maana ule mtaa nilikuwa nafahamiana na watu wengi sana na wengi walikuja ila kukopa ukiwakazia hawarudi tena pamoja na hizo changamoto Mungu ni mwema nilikaza hadi biashara ikasimama na nikafungua matawi mawili na maanisha nikawa nina ofisi 3 na vijana 6 mimi kazi yangu hapo ikawa ni kununua mzigo wa siku na ufuatiliaji tu wa hesabu kiboss.
Sasa kupitia manunuzi ya bidhaa kwa ajiliya hizo ofisi ndio nikaanza kuona fursa nyinginezo kwa mfano biashara ya viazi Yani kusupply viazi kutoka mkoani, biashara ya mafuta, biashara ya kuku na biashara ya nyama, nikaanza kuzifanyia research kwa muda kupitia watu niliokuwa nanunua kwao na kupitia masokoni hatimaye nikafanya hitimisho la kuingia kinaga ubaga kwenye biashara ya kuku maana niliona chain yake ni rahisi kuna uhakika wa mzigo na uhakika wa wateja na hata msingi wake sio mkubwa kama mafuta, nyama na viazi nikaamua kufunga zile biashara namaanisha matawi yote maana hata wale vijana walikuwa wananipiga sana japokuwa chochote kitu nilikuwa ninapata ila sio uhalisia wa kilichokuwa kinapatikana basi nikampigia mnada vitu vyote nikashika pesa nikazama kwa miguu miwili kwenye ile biashara, kwa kweli niliimaster japo mwanzo nilipata changamoto maana ile pesa ya msingi ilikufa yote tena ndani ya miezi miwili ila fast forward nlkuja kubwa supplier mkubwa tena mwenye mtandao wa wafugaji na wateja wengi ikiwemo hizi bar zenye majina makubwa za sinza na tabata hadi nikafungua butcher ya kisasa tu nani samaki kuku na nyama mixer mayai na sausage hapa nilikuwa sihitaji tena ajira na vyeti nilikua nishavirudisha kwa mama muda tu maana niliamini sitokuja kuhitaji ajira tena..
Katika story yote sijaelezea upande wa mahusiano ila alikuwepo binti wa kichaga nyuma yangu na alikuwa wa home tu na nilizaa nae watoto wawili na mwisho tulipita changamoto ikapelekea kutengana na kugawana kila kitu mimi nikiaishia kupata msongo wa mawazo nikauza kila nilchobaki nacho nikanununua boda nikaingia barabarani nikapata ajali nilivokaa sawa nikajikuta nalea watoto kwa kubeti tu na hapa ndio nimepauka kama viatu vya mwalimu wa shule ya msingi kila nikijitahidi kutafuta ajira hakuna nisharudi na watoto kwa mama network yangu hakuna mwenye msaada zaidi naishia kunywa konyagi za kununuliwa na hawa darasa la saba na form four niliowaacha mtaani tena ukiisha unaongezwa na kunadiwa kubwa huyu hana baya ye zake konyagi tu...
Oya sasa hizi mbuzi zinasema wasomi wajinga mara una vyeti huna elimu nazishangaa tu maana nikikumbuka msoto wa kuipata Io degree nimepiga calculus nimepambana na dissertation kudefend research na kuifanya bado form four na six acha nikabeti nipate hela ya konyagi
Kama unauhakika atapiga hela mpaka akimbie si umkopeshe hiyo laki tanoJikusanye kuza mtaji hata kwa kuomba mbona shule umesomeshwa tafuta hata 500k tuu ingia Dodoma huku ni njaa njoo uza nafaka utapiga hela mpaka uikimbie..
Boss, Wewe unafanya hii biashara?Jikusanye kuza mtaji hata kwa kuomba mbona shule umesomeshwa tafuta hata 500k tuu ingia Dodoma huku ni njaa njoo uza nafaka utapiga hela mpaka uikimbie..
SawaKweli wapo wanakataa mshahara huo. Ila mtoa mada haja ukataa. Kuna binti namjua kahitimu sijui maswala ya miamba alipata kazi ya kulipwa 300k kwa mwez eti anasema ni ndogo. Kujiajiri atawezana
Malalamiko hayatakusaidia ndgu yangu.
Miaka nane mtaani na bado hujajifunza njia ipi utumie ili upate unafuu wa maisha zaidi ya kuilaumu elimu, huo ni ujinga kabisa.
Miaka 8 ni mingi sana kuset malengo nje hata ya ulichokisomea, labda kama unataka pesa mingi kwa wakati mmoja. Ninyi ndio mnaozikataa ajira za laki 3 kwa kuona haziendani na hadhi ya elimu zenu.
Matokeo yake mtu anaishia kusota mtaani, la kufanya hana, hela hana , ajira hataki, kazi ngumu hataki, anataka kiyoyozi na V8.
Sometimes tunailaumu bure tu hii elimu yetu, ila tatizo kubwa pia ni sisi wenyewe. Kama umeshajua kua tatizo ni elimu yako, umefanya nini ili kulifix hilo??
Maana kujua tatizo ni hatua nzuri ya kulisolve.

Maana kujua tatizo ni hatua nzuri ya kulisolve.m
Kuna dogo nilimaliza naye chuo mwaka 2018, yeye hakuleta sijui mbwembwe za usomi alipomaliza tu chuo kuna ndugu yake alimnunulia bajaji aisimamie, jamaa alipambana na ile bajaji kwa uaminifu, baadaye kuna ticha mmoja tulikuwa naye group discussion moja na huyo dogo akanunua bajaji na kumkabidhi aisimamie akawa anafanya vizuri, kuna lecturer wetu pia baada ya kuona fighting spirit ya dogo na uaminifu wake naye akamkabidhi bajaji then akamuunganisha na jamaa wengine wapo serikalini kwenye vitengo wakamkabidhi bajaji zao azisimamie dogo akajikuta anasimamia bajaji nyingi mpaka wenzake wakawa wanamuita Issa mabajaji pia wakawa wanamshtutumu kuwa ni mshirikina. Dogo now kajenga nyumba yake uyole kamfungulia mkewe duka wale jamaa wa serikalini mmoja wao kanunua gari la mizigo linasimamiwa na huyo huyo dogo, leo hii anapiga hatua anatuzidi mpaka inservice ambao tulikuwa naye chuo na wenzake aliomaliza nao mpaka leo wanasubiri ajira za ualimu.Malalamiko hayatakusaidia ndgu yangu.
Miaka nane mtaani na bado hujajifunza njia ipi utumie ili upate unafuu wa maisha zaidi ya kuilaumu elimu, huo ni ujinga kabisa.
Miaka 8 ni mingi sana kuset malengo nje hata ya ulichokisomea, labda kama unataka pesa mingi kwa wakati mmoja. Ninyi ndio mnaozikataa ajira za laki 3 kwa kuona haziendani na hadhi ya elimu zenu.
Matokeo yake mtu anaishia kusota mtaani, la kufanya hana, hela hana , ajira hataki, kazi ngumu hataki, anataka kiyoyozi na V8.
Sometimes tunailaumu bure tu hii elimu yetu, ila tatizo kubwa pia ni sisi wenyewe. Kama umeshajua kua tatizo ni elimu yako, umefanya nini ili kulifix hilo??
Maana kujua tatizo ni hatua nzuri ya kulisolve.
Ili wawarithi wake zenu na mademu zenu!Oyaaa acha na wanatunyanyasa maana ndio wana vi IST na viduka vya nguo midizini na karume oya wanatunanga had basi kibaya zaidi hawatupi michongo zaidi kutununulia konyagi tena chupa kubwa watuue mapema 😞😞
Tuko pamoja. Ni kwamba anaesema shule ya chekechea haina gharama anakosea.NADHARIA;
serikali ilisema darasa 1 linagharimu zaidi ya milion 20, na chekechea yetu itahitaji madarasa mawili.
Hivyo itahitajika milion 40 kuweza kuwa na chekechea.
Unataka kuniambia itatubidi kuwa na walimu 4 tuchange milion kumi kumi kwa kila mwalimu ili tuweze kufungua shule.
hiyo milion 10 ya mtaji kwa kila mwalimu tutaitoa wapi?
nb: kumbuka sijaweka gharama ya kiwanja, viti, meza, vitabu nk..
Tatizo una degree ya uchumi halafu huna lolote zaidi ya uchawa na kusifu serikali.Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio balaa tupu maana mkononi mtaji una elfu hamsini, unabaki kubishana tu vijiweni kati ya chama na pacome nani mkali utaishia kujua ofisi zote za kubeti na kama haitoshi utamsifu mama utakuwa chawa utapauka kama viatu vya mwalimu wa shule ya msingi.