Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

dunia ya sasa waliobea mafanikio yako ni mzazi au walezi wanaokusomesha, baada ya kukulipia ada mpaka unahitimu.

inabidi tena wakupe na mtaji ili uweze kujiajiri, tofauti na hapo labda upate kismati tu.

Umesomea udaktari mpaka ukahitimu, alafu unaambiwa ujiajiri!, je una mtaji wa kuanzisha hospitali?

Umesomea education mpaka ukahitimu, alafu unaambiwa ujiajiri! Je una mtaji wa kufungua shule?
Tatizo wengi tumekaza kwa sababu tumetoka familia duni maana tulijua sisi ndio njia ya kuuaga umaskini wazazi wamekopa sana, wamepiga sana vibarua sa hivi ata nguvu hawana tena ni basi tu tunakaza ila maisha yamekuwa mateso bila chuki
 
Oyaaa acha na wanatunyanyasa maana ndio wana vi IST na viduka vya nguo midizini na karume oya wanatunanga had basi kibaya zaidi hawatupi michongo zaidi kutununulia konyagi tena chupa kubwa watuue mapema 😞😞
Wanaamini tukianza kufanikiwa tutawaacha kwa kasi ya 5G ndio maana hawatupi michongo.
 
Wasomi wa sasa kila mtu anatuita wavivu mara wapumbavu hatuwezi kujiajiri ila hawajui uhalisia maana waTZ tunaongoza kwa maneno bila research
Kwa uvivu nakubali, wengi ni wavivu sana ndio maana hata kujitafuta kujiajiri ni ngumu. Kwa ufupi wasomi tunajionaga ni special sana lakini kama usomi wako hauleti chakula mezani, haulipi bills sio kitu. Life is all about love&money.

Tukija kwenye competition ndio hoi kabisa. Mfumo wetu wa elimu unakazana kuzalisha quantity na sio quality na hii ni shida kubwa sana.

Mtu ana degree ya field fulani lakini hana uwezo wa kujidefend kama msomi wa degree inabaki kuwa ni degree kwa jina na cheti. Tunakoelekea hali ndio itazidi kuwa mbaya zaidi. Acha nilime sasa.
 
Dash kuna uncle wangu ni msomi safi very bright kichwani lakini mwaka wa 6 huu sometimes namuona ni kama anaanza kuloose mind
Oya mi wa 8 huu ni mikazo tu usmart unapotea tushajitolea sana ofisi za watu tushafuga sana kuku lakini hola inatia uchizi sometimes tunamaliza kunywa chai ndio tunapiga maswali au unalala ndio unakumbuka hujaoga siku ya pili
 
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio balaa tupu maana mkononi mtaji una elfu hamsini, unabaki kubishana tu vijiweni kati ya chama na pacome nani mkali utaishia kujua ofisi zote za kubeti na kama haitoshi utamsifu mama utakuwa chawa utapauka kama viatu vya mwalimu wa shule ya msingi.

Ndio maana tunaanza kuoneana wivu hadi tunaanza kutamani uchawi... Na ndio sisi tunaunga mkono kila hoja ya wapinzani ila tunakula ChiChieM na kussuport kikokotoo, mwisho nawashauri wadogo zangu kama hauna ndugu maofisini tena wenye vyeo usiwasumbue wazazi kukulipia ada bora ufanye mtaji uanze kuuza hata viatu au mawigi utanishukuru baadae​
Wengi wanasoma, ila wanao elimika ni wachache.
 
Kwa uvivu nakubali, wengi ni wavivu sana ndio maana hata kujitafuta kujiajiri ni ngumu. Kwa ufupi wasomi tunajionaga ni special sana lakini sio kwa sababu usomi wako kama hauleti chakula mezani, haulipi bills sio kitu. Life is all about love&money.

Tukija kwenye competition ndio hoi kabisa. Mfumo wetu wa elimu unakazana kuzalisha quantity na sio quality na hii ni shida kubwa sana. Mtu ana degree ya field fulani lakini hana uwezo wa kujidefend kama msomi wa degree inabaki kuwa ni degree kwa jina na cheti. Tunakoelekea hali ndio itazidi kuwa mbaya zaidi. Acha nilime sasa.
Masomo yenyewe ni mwendo wa ku crame ujibu mtihani unategemea bila kukaa kwenye field yako baada ya miaka 7 utakumbuka kitu.. hata kama ni mwalimu miaka 7 bila kufundisha utaweza kweli... Si inakupotezea hata confidence ya kucompete na fresh from school
 
dunia ya sasa waliobea mafanikio yako ni mzazi au walezi wanaokusomesha, baada ya kukulipia ada mpaka unahitimu.

inabidi tena wakupe na mtaji ili uweze kujiajiri, tofauti na hapo labda upate kismati tu.

Umesomea udaktari mpaka ukahitimu, alafu unaambiwa ujiajiri!, je una mtaji wa kuanzisha hospitali?

Umesomea education mpaka ukahitimu, alafu unaambiwa ujiajiri! Je una mtaji wa kufungua shule?
Hivi kuanzisha chekechea unahitaji mtaji ? Hapo ndipo mnapofeli, hivi kuwa fundi unahitaji mtaji? Na vipo vyanzo vingi vya kazi sema tu hamjui namna ya kutumia mazingira uliopo.

Lugha tu inatosha, na hapo ndio elimu ufanya kazi.
 
hao wanafunzi wa chekechea utawafundishia chini ya mti?
Watu wanaongeaga tu Yani,hao chekechea wanahitaji jengo,viti vyakukalia, material za kufundishia, location Kwa maana huwezi fungua darasa la tuition kijijini maana hauta PATA wateja lazima iwe town sasa, gharama yakupata jengo town ni kubwa kupita maelezo. Halafu mtu anaropoka et auhitaji mtaji au fedha none sense 😏😏😏😏
 
Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili hupati michongo maana kila mtu anaona unaenda kumuovertake kwenye ugali wake ukienda kujiajiri ndio balaa tupu maana mkononi mtaji una elfu hamsini, unabaki kubishana tu vijiweni kati ya chama na pacome nani mkali utaishia kujua ofisi zote za kubeti na kama haitoshi utamsifu mama utakuwa chawa utapauka kama viatu vya mwalimu wa shule ya msingi.

Ndio maana tunaanza kuoneana wivu hadi tunaanza kutamani uchawi... Na ndio sisi tunaunga mkono kila hoja ya wapinzani ila tunakula ChiChieM na kussuport kikokotoo, mwisho nawashauri wadogo zangu kama hauna ndugu maofisini tena wenye vyeo usiwasumbue wazazi kukulipia ada bora ufanye mtaji uanze kuuza hata viatu au mawigi utanishukuru baadae​
Ila elimu nzuri ni mtaji, na, siraha kibindoni, niliona pale UN, ilitangazwa kazi, wote tukagaragazwa na Dada mmoja mwenye degree yake kutoka Udom,
 
Back
Top Bottom