Tanzania ukisoma hadi chuo ni kama laana mtaani

Waache elimu wauze mawigi😁😁😁😁😁
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Dunia haiko fair mkuu, kama kulaumu mfumo wa elimu utalaumu sana, serikali utailaumu kila leo.

Cha kufanya ni kuisaidia nafsi yako kwanza, mfumo wa elimu sio rafiki lakini sio kikwazo cha wewe kujitafuta.
 
WaTz msiwe serious sana maisha ndio haya haya si tunakula bia APA hii thread imenipa connection nimefatwa pm imeΓ±ipa bia na michongo nimepata... Nyie mnaosema bado sijasema mara hii thread ya kipumbavu kaa humo πŸ’©
 

Attachments

  • PXL_20240514_175341409.mp4
    30.6 MB
WaTz msiwe serious sana maisha ndio haya haya si tunakula bia APA hii thread imenipa connection nimefatwa pm imeΓ±ipa bia na michongo nimepata... Nyie mnaosema bado sijasema mara hii thread ya kipumbavu kaa humo πŸ’©
Wanakudanganyaga Kuna maskini jeuri sio?
 
Nakujibu!

Baada ya mzilankende kusitisha Ajira za mpigo kama za Mzee wetu jk alietuweka wengine mjini!

Bhas idadi ya wasionna Ajira iliongezeka Sana kwa miaka 6 ya chato!

Sasa aliposhika huyu akakuta hali ndivyo ilivyo na yeye akaona wagebill ya mishahara itakua kubwa na miradi ni mingi ya kumalizia na yeye akanyuti TU,Na sio kwamba Akira hazipo,zipo nyingi Sana lakini serikali inajiona Haina fedha ya kuajiri wakati zipo ndizo hizo wanazolipana posho na mishahara minono wao wanasiasa!

Kwasasa Graduate ni la Saba waliokula boom coz hakuna tofauti kabisa ndio maana wanachekwa ambao hawana ajira!!

Anza kunipigia chapuo Mimi niwe coz Nina ajira million Moja tayari ,kwahio graduate hawatochekwa tena!
 
Wasomi wa sasa ni wapumbavu sana kwa nn tusijioganize tuipindue CCM madarakani? Maana ndo inayo tusotesha mtaani mpaka tunaonekana hamnazo wakati tumefanya maresearch kibao.
 
Oyaaah nimepiga kura mara tatu na mara zote nimechagua wapinzani ila wameshinda CCM hawa wapuuzi kuwatoa sio rahisi kihivyo ndio maana nawakubali sana Jatu na mr kuku
Wasomi wa sasa ni wapumbavu sana kwa nn tusijioganize tuipindue CCM madarakani? Maana ndo inayo tusotesha mtaani mpaka tunaonekana hamnazo wakati tumefanya maresearch kibao.
 
Hii inaitwa victimization mentality !!! Ogopa sana maana ina ambukizwa kama ukoma. Kuna waliopata nafasi na wapo ambao bado hawajapata. Kwa unaye soma ujumbe huu, tafadhali usikate tamaa, pambana kwa nguvu zako zote, mshirikishe Mungu kwenye mapambano yako, kuna siku tu isiyo na jina mambo yatakaa sawa. Tough moments are there to test and shape us to have a courage to face our challenges !!! Keep heads up champs see you there at the top !!!
 
UPo sahihi mkuu
 
Naona umeandika haya baada ya kushiba ugali maharage. Nyie ndo watu ambao mkifanikiwa mnaona ambao hawajafanikiwa ni wajinga. Maliza chuo, njoo mtaani akili yako ikusaidie kutoboa, ndo uje uandike sera zako hapa Andrew Tate
 
Naona umeandika haya baada ya kushiba ugali maharage. Nyie ndo watu ambao mkifanikiwa mnaona ambao hawajafanikiwa ni wajinga. Maliza chuo, njoo mtaani akili yako ikusaidie kutoboa, ndo uje uandike sera zako hapa Andrew Tate
Exactly. Wewe ndiyo niliyekuwa nakuongelea. Ni mjinga na huna akili. Na nasikitishwa na hili kama kijana nchini. It's truly saddening.

Mimi naujua uhalisia. That's why ni Application developer, Graphics designer, YouTuber na Freelancer. Hatufanani, I have exposure of the bigger picture, I think differently. Mimi siwezi kuja mtaani sababu hicho kitu kwangu hakipo. Hakuna mtaa, uko wewe tu.

You see, the moment nimeandika hivi. Leo nasikia bunge lina mpango wa kuanzisha technology and innovation hub, including fiber circulation around the country na Artificial Intelligence utilization. Seems like wanapita humu, wanasikia na wanaamka. And that's a great sign for the future generations. It's a great start.

Najua haunielewi, but I won't stop educating you little piece of brain.
Singapore iko pale sababu ya strategical long term plan that's include environmental utilization, industrialization to eradicate a large portion of unemployed. Technological advancements, and Entertainment parks including Casinos. Hii imepelekea kuleta a ridiculous amount of investors from outside the country.
Nchi ambayo tumepata nayo uhuru at the same time, leo hii ni tajiri duniani na wametuacha mbali.

Hii haikuhusu wewe wala mimi, bali the next na future generations. Ni long term plan. The reason tuko kwenye hali hii, nchi haina opportunities na lack of employment ni mazao ya kizazi kilichopita kufikiria kama wewe. You're doomed.

Here's my advice: Sit down and cry harder, I can't hear you from all the way back here. Let that sink in.
 
Maliza chuo mdogo wangu maneno yako yana ushawishi ila yamekaa kinadharia njoo mtaani ufanye practical kaa miaka mitano afu rudi kutupa mrejesho kwenye huu uzi.. kwamba video za youtube quality aisee kaz kweli kweli πŸ™ŒπŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi nimekuwa mdogo wako? Hahaha! What a Fukin idiot. No offense but you're an idiot. Usingeandika hivyo, you don't derseve my respect.

Nilijua utasema hivi as ndio hoja pekee kupinga statement yangu.
It's funny how ukimention kusoma, mtu anadhani uko chuo na mtoto mdogo. Unadhindwa jiuliza huu ni mwaka wa 5 au degree ya 2.

And yes mimi nafanya Youtube. Natengeneza high quality content na matunda ya hardwork yangu nayaona. I have exposure and curiosity, najituma na nina plan nzima ya maisha na sio kuajiriwa means sihitaji kuapply chochote as tayari nimeshapply kila kitu. Hapa naongea kitu ninachokikujua na ninachokifanya mimi mwenyewe.

Ukienda nje utakuta vijana kama MrWhostheboss na MKBHD, huyu jamaa ni very inspirational, yeye anatengeneza phone reviews. Na ana office kubwa inayoworth a few dozen us million dollars sababu ya YouTube na sponsors kibao waliojaa youtube. Inasikitisha kuona hata haujui jinsi gani youtube inaweza kubadilisha maisha ya mtu na kutengeneza a few hundred to thousand bucks a week. Unatokea wapi mkuu? Mkoani? Hahaha! Inasikitisha jinsi gani watu hatufanani. No wonder unaona nilichokiandika ni completely fictional na lugha gongana.

Na long term plan ni kuwa na taifa lenye vijana wenye exposure na uwezo wa kufikiria nje ya box. Wewe ni case nyingine, na nafasi yako ilishapita. You're doomed. Ninachokiandika hakinihusu mimi wala wewe bali the future generations of our country.

That's exactly my point. Theory ndio sababu Japan walisurender in the 40s Mbele ya USA. Na ndio sababu kuna ndege na meli, unatumia simu right now unayotumia kulalamika, kuna umeme na engines za madaladala analopanda dada yako.

But it seems like serikali unlike you, inaelwa umuhimu wa theories.
Leo serikali ina mpango wa kuanzisha technology Hubs, exactly nilichokuwa nakisema kila siku. A place where the true intelligents and curious driven mentalities unite. To think, ask, judge, tear apart and solve. Na kwa hili nimepata hope kwa kitendo tu cha serikali kumention hichi kitu, let alone the execution. Sio wasomi ili wapate pesa ya kula. Don't you see you're a goddamn liability and total useless to the country? Kama wewe umesoma mpaka chuo na uko hivyo. Je kuna faida gani ya watoto kusoma? You see my point?

Vyuo vya wenzetu vinagenerate kina Elon Musk, Bill Gates, Mark Zuckerberg, Jeff Bezos, yule jamaa wa ChatGPT ninayoitumia kufanya researches. Vyuo vyao vinatengeneza Idealists na visionaries. Lakini vyuo vyetu vinatengeneza watu kama wewe, na sio wewe tu, bali maelfu kila mwezi. Na sikulaumu sababu makosa sio yako bali ya kizazi kilichopita.

Kama hauwezi kufikiria, kuimagine na kutengeneza theory. Then unastahili kuchekwa, kutukanwa na kulia.

But it doesn't matter sababu siku zote kila Taifa litahitaji consumers. I reckon we're different and we can't all be thinking machines.

Naelewa unapotokea na naheshimu hilo.
So usichukulie ninayoyaandika personally bali kama part ya argument. If that's what it is.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…