Tanzania USA Diaspora's Fundraising Appeal for Mr. Tundu Lissu

Mtaandika mpaka kwa kilatini

Mnawatetemekeaga sana hao mambwana zenu wa kizungu huwa mnawapelekea matatizo yenu juu ya hali ya kisiasa Tanzania

Nashangaa wamewanyima hata pesa za kujikimu mnarudi kwa walalahoi wawatumie pesa wakati mpo chumbani kwa mambwana zenu kabisa

Nilifikiri ile misaada yao waliokua wanaileta Tanzania saivi wanawapa nyinyi, kumbe hata mia hampewi? Kaazi kweli kweli
 
We jamaa kenge tu. Mara uropoke eti mimi chadema; mara saa hii eti sisi ccm.
Umerogwa?

Can't you write in English please? Or do you have any problem with English language so that you can't comment in English? Stupid.
 
Is this thread written in Kiswahili or English? Aren't you a Wordsmith? Next time once you see a thread written in English please try also to respond in English okay? Hopeless!
Upumbavu ni upumbavu tu, hata ukiandikwa kwa lugha ya kigeni.
 
Hii Ndio mnataka kutuletea bongo. LISSU Ndio mtetezi wa Ujinga huu, nani mnamsaidia kumaliza taifa Kwa ushoga
FB_IMG_1553082900162.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chadema waweke account No za bank za Tanzania hata humu the tuanze kuhamisha pesa kutoka kwenye account zetu kwenda huko.
 
Mtaandika mpaka kwa kilatini

Mnawatetemekeaga sana hao mambwana zenu wa kizungu huwa mnawapelekea matatizo yenu juu ya hali ya kisiasa Tanzania

Nashangaa wamewanyima hata pesa za kujikimu mnarudi kwa walalahoi wawatumie pesa wakati mpo chumbani kwa mambwana zenu kabisa

Nilifikiri ile misaada yao waliokua wanaileta Tanzania saivi wanawapa nyinyi, kumbe hata mia hampewi? Kaazi kweli kweli

Upo period shost??
 
Mwambie Lissu aache kiki, tumechoka na matusi yake kwa Serikali yetu. Kama akipewa pesa ni kwa ajili ya kutukana, basi hao aliokuwa anajikomba kwao wampe ili atukane zaidi. Mimi nampongeza Mh. Speaker kwa kuondoa mshahara. Nchi ikiwa na amani. Acha ajufunze adabu. Kwanza anafanya nini huko? Si arudi nyumbani? Mimi nadhani avuliwe na ubunge kabisa.
 
Nakufananisha na mwanamkr aliyefikia kipindi cha menopause..anakuwa ana hasira na kila mtu na bila sabab...km umefikia menopause tafta dawa za kutuliza hyo hali..mxiewwww
 
Back
Top Bottom