Wewe ni muongo wa hali ya juu sana ama ni mshabiki wa vijiweni asiye na habari yoyote.Tumeisha onya mara nyingi sana kwamba kwenye matibabu ya Lissu hela za shetani au mawakala wake hazitakiwi , hatutaki kutakatisha pesa
Ile michango ya bungeni ilitolewa na wabunge wote.
Ile ya chama cha mawakili pia iliyolewa ma wanachama wote.
Na kama nia yako ni kusema wana ccm hawatakiwi kuchamchangia mtanzania mwenzao, basi huna habari.
Hata mie nimechangia na mwana ccm, na kweny huu mchango nitachangia, kwani ni haki yangu na siungi mkono kumsimamishia mshahara wake na pesa za matibabu, japokuwa siungi mkono siasa zake.
Kumchangia ni wajibu
Sent using Jamii Forums mobile app