Tanzania USA Diaspora's Fundraising Appeal for Mr. Tundu Lissu

Tanzania USA Diaspora's Fundraising Appeal for Mr. Tundu Lissu

Tumeisha onya mara nyingi sana kwamba kwenye matibabu ya Lissu hela za shetani au mawakala wake hazitakiwi , hatutaki kutakatisha pesa
Wewe ni muongo wa hali ya juu sana ama ni mshabiki wa vijiweni asiye na habari yoyote.

Ile michango ya bungeni ilitolewa na wabunge wote.

Ile ya chama cha mawakili pia iliyolewa ma wanachama wote.

Na kama nia yako ni kusema wana ccm hawatakiwi kuchamchangia mtanzania mwenzao, basi huna habari.

Hata mie nimechangia na mwana ccm, na kweny huu mchango nitachangia, kwani ni haki yangu na siungi mkono kumsimamishia mshahara wake na pesa za matibabu, japokuwa siungi mkono siasa zake.

Kumchangia ni wajibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapovu ya nini sasa ! tumekwisha chora mstari , hatutaki hela zenu , wanafiki wakubwa nyie ! kama zilikuja nitafanya oganaizesheni zirudishwe , Full Stop !
 
Sasa watu wanachangia vipi???
Si mngeset basi kwenye Gofundme.com??
 
Majority of Tanzanians we don't know the language written above so was much better to use our national language Swahili so that everyone could comprehend the message and also to reject to be a servant of colonial education whatsoever!!!
 
Back
Top Bottom