Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
......Mwambie Lissu aache kiki, tumechoka na matusi yake kwa Serikali yetu. Kama akipewa pesa ni kwa ajili ya kutukana, basi hao aliokuwa anajikomba kwao wampe ili atukane zaidi. Mimi nampongeza Mh. Speaker kwa kuondoa mshahara. Nchi ikiwa na amani. Acha ajufunze adabu. Kwanza anafanya nini huko? Si arudi nyumbani? Mimi nadhani avuliwe na ubunge kabisa.
...... Kaogeshe watoto jua limezama