Tanzania Vodacom Premier League is back: live updates kwa mechi zote za 20 Aug 2016

Tanzania Vodacom Premier League is back: live updates kwa mechi zote za 20 Aug 2016

Mkuu nilikua busy nikifuatilia soka la uhakika.. umemuangalia lakini mnyama?
uploadfromtaptalk1471711600494.jpg

Cc Crashwise

Hapa vipi mtapona kweli
 
Profile Picha Yangu imenifanya Nisite Kwa Muda KuQuote Hapa! Lakini Simba Wakikupa Raha Utajimwaga tuuu!!
Good Start for us...
 
Profile Picha Yangu imenifanya Nisite Kwa Muda KuQuoet Hapa! Lakini Simba Wakikupa Raha Utajimwaga tuuu!!
Good Start for us...
Pole sana kwa yaliyowakuta hao katika profile picture yako
 
Wekundu wa msimbazi Simba leo hii wameana vema mikikimikii ya ligi kuu soka Tanzania Bara kwa kuweka kuibuka na ushindi wa goli 3-1,magoli ya simba yalifungwa na Mavugo ,Kichuya na Blagnon huku goli la Ndanda likitiwa kimiani na Omary Mponda

Chini ni video ya matukio muhimu katika mchezo huo wa leo,maoni yanakaribishwa
 
Ndanda ilikuwa ya kuchapwa zaidi ya 5 kwa sufuri. Simba bado kabisa kwa ushindi huo wa kucheza na maiti!
 
Safi sana wana msimbazi hakuna kununua mechi bali ni ushindi wa jasho......ushindi wa kununua marefa tuwaachie wenzetu wa jangwani.....ingawa sasa hivi hali ni tete baada ya mnunuaji mkuu wa mechi mpaka mashabiki kujitoa......
Kabisa mkuu
 
Pole sana kwa yaliyowakuta hao katika profile picture yako
Kwa ule ukuta wao wakikutana na watu wenye hasira ya kutikisa nyavu Kama IBRA na wenzake..sijui ubao utasoma ngapi..
 
Azam Vs Africab Lyon

Dakika ya 99 sasa

Hawa marefa wetu...Hovyo sana
 
Aisee...

Israel Nkongo anampa mchezaji wa African Lyon kadi nyekundu baada ya kupuliza filimbi ya kumaliza mpira..
 
Back
Top Bottom