Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawana pumzi haoMnaanzaga hivihivi baadae chali
Najua mtakata pumzi...hongereniNdio zimefika mtani, asante sana
Nimeisikia ila ni uongo maana tulicheza na majimaji na mtibwa...
Asante mkuuWatani hongereni kwa kuanza ligi na ushindi
Msimu huu hakuna habari ya kukata pumziNajua mtakata pumzi...hongereni
Pole sana kwa yaliyowakuta hao katika profile picture yakoProfile Picha Yangu imenifanya Nisite Kwa Muda KuQuoet Hapa! Lakini Simba Wakikupa Raha Utajimwaga tuuu!!
Good Start for us...
Wekundu wa msimbazi Simba leo hii wameana vema mikikimikii ya ligi kuu soka Tanzania Bara kwa kuweka kuibuka na ushindi wa goli 3-1,magoli ya simba yalifungwa na Mavugo ,Kichuya na Blagnon huku goli la Ndanda likitiwa kimiani na Omary Mponda
Chini ni video ya matukio muhimu katika mchezo huo wa leo,maoni yanakaribishwa
Kabisa mkuuSafi sana wana msimbazi hakuna kununua mechi bali ni ushindi wa jasho......ushindi wa kununua marefa tuwaachie wenzetu wa jangwani.....ingawa sasa hivi hali ni tete baada ya mnunuaji mkuu wa mechi mpaka mashabiki kujitoa......
Kwa ule ukuta wao wakikutana na watu wenye hasira ya kutikisa nyavu Kama IBRA na wenzake..sijui ubao utasoma ngapi..Pole sana kwa yaliyowakuta hao katika profile picture yako
Mmeanza mbwembwe na baiskeli ya miti?Chura wa jangwani aka Mzee akilimali vs Manji watajinyonga mwaka huu
DuuuuuAzam keshapigwa 1 na African Lyon
Dakika ya 85
Wamechomoa dakika ya 94Duuuuu
Utabiri wako huu umeenda fyongo. Umepatia Simba tu.Azam FC win,Simba win,Stand win,Majimaji draw,Mtibwa win
Marefarii wanazingua sana hapa bongoAisee...
Israel Nkongo anampa mchezaji wa African Lyon kadi nyekundu baada ya kupuliza filimbi ya kumaliza mpira..