MNAOPONDA STARS NI WAJINGA NA WAHAINI, mnatakiwa kuisapoti timu yenu, tena inapoonesha kiwa ime-improve, Stars wamecheza vizuri sana. HATUJAFUNGWA.
HONGERA STARS!
Nawashangaa watu hasa WANA UKAWA MNALETA SIASA HUMU. Kamwe kwa mentality hiyo hamtatoboa maisha, ulipofikia ndo mwisho!
MAANINA ZENU WOTE MNAOIBEZA STARS!
Kwani tumefungwa? Algeria ni timu kubwa!
Acha kupanic, hii ni team yetu sote, toa maoni tufanye nn?
Sijazaliwa kufurahia mabaya hata kama yananihusu.
Pambavvv....!!!
subirini dakika 90
Kwa hiyo hatukusihili kupata magoli 2?