Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.
MNAOPONDA STARS NI WAJINGA NA WAHAINI, mnatakiwa kuisapoti timu yenu, tena inapoonesha kiwa ime-improve, Stars wamecheza vizuri sana. HATUJAFUNGWA.
HONGERA STARS!

Nawashangaa watu hasa WANA UKAWA MNALETA SIASA HUMU. Kamwe kwa mentality hiyo hamtatoboa maisha, ulipofikia ndo mwisho!
MAANINA ZENU WOTE MNAOIBEZA STARS!

Sijazaliwa kufurahia mabaya hata kama yananihusu.
Pambavvv....!!!
 
Acha kupanic, hii ni team yetu sote, toa maoni tufanye nn?

Sijapanic, wananiuzi wanaojiita watanzania wataka mabadiliko, wanaponda timu bila kutoa suluhisho na kuingiza siasa.
Soma komments za watu utanielewa.
 
stars wamepiga bonge la mpira. kumbe waarabu wanafungika easy tu.
 
Kushabikia Taifa Stars ni kujitafutia maradhi ya moyo.Binafsi nilijitoa siku nyingi sana na nina imani uamuzi wangu ulikuwa sahihi na utaendelea kuwa sahihi kwa kipindi kirefu kijacho.
 
Wewe engine rock km hujui soka kaa kimya km hadi sub inafanyika kulikuwa na mazaifu gani kwa hizo nafasi ulizoziorodhesha
 
_baada ya stars kuongoza magoal mawili yaliyo fungwa na #maguli pamoja na #samata _haya kuweza kuipatia ushindi taifa stars ni baada tu ya mabadiliko yaliyofanywa na taifa stars kwa kuwaingiza ndemla pamoja na ngasa...mambo yalibadilika na kufanya matokeo kuwa 2_2.....

_chochote kwenye mpila kinaweza kutoke watanzania tusife moyo, ingawa algeria wana nafasi nzuri yakuweza kusonga mbele ...tanzania italazimika kupata ushindi wa aina yoyote au sare ya zaidi ya mabao matatu ...ndo italazimika stars kusonga mbele...
 
Debuli umemjibu huyu Pumbavu yake. Kwakuwa ni TS ndio tuipende. Wanaboronga kichwa cha mwendawazimu bado tupende tuu, ww ndio maana unaugua maradhi ya moyo.
 
Ikiwa kama timu ya Taifa inakwenda kufanya mazoezi na timu ya chuo, je unatarajia nini? Matokeo yasiyoridhisha zinazopata timu za taifa ni kiashirio cha uchumi mbovu ulioambatana na uwekezaji mbovu. Mtu hawezi kunenepa miguu pekee. Hivyo hivyo, Tz haiwezi kufanikiwa kwenye michezo ili hali sekta nyingine zote (elimu, afya, nishati, miundombinu, ...) inasuasua.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom