Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.

...ulikuwepo kwenye hicho kikao walichokua wanapanga? walikutana watu wangapi?,
tuondolee maneno ya mkosaji hapa..
 
Kila kitu mnakiangalia kwa jicho la kisiasa.No wonder kuna kijana alimfukuza baba yake nyumbani kwake eti kwa kuwa amekataa kuwa CDM.Yaani mmepachikwa CHUKI KALII ambayo hata Mbowe mwenyewe haishi hivyo.

Sasa we ulitakaje?? Mbona baada ya kuongoza zile mbili kuna magamba humu yalianza kuleta siasa??

Kwahiyo hilo wewe hukuliona?? Hivi Makufuli alikuwepo uwanjani teh teh teh KAZI TUUUUUU
 
ni kawaida yenu KUJITAHIDI
 

Mechi irudiwe tu hakuna namna.
 
...ulikuwepo kwenye hicho kikao walichokua wanapanga? walikutana watu wangapi?,
tuondolee maneno ya mkosaji hapa..

Wewe ni mchanga sana katika kampeni za soccer ya Dunia.

Wala situmii muda wangu kujibizana na wewe.

Ninachokuambia,Tanzania kwa game ya leo, ndio iliyokuwa na uwezo wa kuifunga Algeria, na hata Algeria wanajua hivyo, kilichowaokoa ni hila tu za waamuzi.

Sidhani kama unaelewa.
 

Tunachojua sisi ni uchakachuaji wa kura na kuwapiga mabom wapinzani!!!

Kiukweli soka kwetu bado, embu angalia michezo mashulen ilivyofutwa, viwanja mitaani vimeuzwa, hakuana academics za michezo..hakuna..hakuna...hakuna mafanikio yetu kisoka, mafanikio yataanza baada ya ccm kutoka madarakani!! Na kuanza Tz mpya.
 
Kwa sifa za waarabu, kule kwao tutapigwa hata 7, hawa jamaa ugenini wanakuwa kama wagonjwa subiri kwao sasa na wale mashabiki wao basi sijui tutaficha wapi sura zetu
 
Kilichotokea uwanja wa taifa ndiyo uhalisia wa watanzania hakuna tunachoweza chini ya haki.

Watanzania tumezoea magumashi sana, ingekuwa baada ya mechi kuna kuhesabu kura...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€:
 
Kwa kweli tunawapa Hongera Kocha Mkwasa na timu yote ya Taifa. Mlicheza vizuri sana. Sare ni kitu cha kawaida sana. Ongezeni ufundi, morali na Utanzania nawakikishia tutawashinda tu.
 
Sio wakati muafaka wa kuanza kulaumiana kwa matokeo ya jana lakini pia sio wakati muafaka kukaa kimya iwapo kuna lolote la kuchangia .......... mechi kati ya Stars na Algeria mabadiliko mliyoyafanya yamechangia magoli yale kurudishwa .... SABABU waarabu walipokuja walikuwa wameweka akili yao yote kwa Samatta na Ulimwengu lakini baada ya Eliaas Maguli kuwapiga bonge la bao la kujituma wao walishtushwa na Maguli yaani iliwachanganya kiasi fulani wakawa hawanabudi kupunguza mashambulizi na kumkaba Maguli pia .... sasas alipotolewa tu wao walipata mwanya wa kufunguka na kuanza kushambulia kwa maoni yangu mabadiliko yangefanyika kwa sababu maalumu la sivyo wangeachwa waendelee hadi dakika za majeruhi ndipo mabadiliko yangefanyika
 
Ulichosema ni sahihi, pia beki mvuta bangi aliyeutizama mpira ukiingia badala ya kuanua sijui kocha alimtoa wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…