Freeland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 14,481
- 10,227
huwenda utakuwa si mtanzania si bure
we hujitambui kuwa sasa wewe ni m Tanzania last class
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huwenda utakuwa si mtanzania si bure
Kuna baadhi ya Watu hawaelewi tu kuhusu soccer , goli gani lile la kwanza kwa Algeria, kwa aliecheza mpira, goli la kwanza la Algeria is clear offside.
Lakini kwa kuwa imeshapangwa Algeria lazima iingie fainali za World Cup, tutafanyaje.
Lakini itabaki kwamba Taifa Stars (TZ) wameonyesha uwezo kuliko hao waliobebwa.
Kila kitu mnakiangalia kwa jicho la kisiasa.No wonder kuna kijana alimfukuza baba yake nyumbani kwake eti kwa kuwa amekataa kuwa CDM.Yaani mmepachikwa CHUKI KALII ambayo hata Mbowe mwenyewe haishi hivyo.
Hata Tungeshinda Tusingeenda Popote
Raisi Wetu Alishakataza Safar za nje
acha kujifariji wewe mpumbavuNdo hatujafungwa ka vipi kuleni malimao msiotutakia mema tena ombeni na Uraia wa Algeria ikibidi
ni kawaida yenu KUJITAHIDIKuna baadhi ya Watu hawaelewi tu kuhusu soccer , goli gani lile la kwanza kwa Algeria, kwa aliecheza mpira, goli la kwanza la Algeria is clear offside.
Lakini kwa kuwa imeshapangwa Algeria lazima iingie fainali za World Cup, tutafanyaje.
Lakini itabaki kwamba Taifa Stars (TZ) wameonyesha uwezo kuliko hao waliobebwa.
Mpumbavu ni wewe usiyeijua hata dakika 10 ni nini kitatokea kwenye maisha yako lakini unajifanya unajuaacha kujifariji wewe mpumbavu
Algeria wana Gol 3 ninyi 2
ha-ha Bora tuwekeze kwenye Music na Bongomovie
Kuna baadhi ya Watu hawaelewi tu kuhusu soccer , goli gani lile la kwanza kwa Algeria, kwa aliecheza mpira, goli la kwanza la Algeria is clear offside.
Lakini kwa kuwa imeshapangwa Algeria lazima iingie fainali za World Cup, tutafanyaje.
Lakini itabaki kwamba Taifa Stars (TZ) wameonyesha uwezo kuliko hao waliobebwa.
kwani wee ni Mungu hadi ujue? pumbavu mkubwa wwMpumbavu ni wewe usiyeijua hata dakika 10 ni nini kitatokea kwenye maisha yako lakini unajifanya unajua
...ulikuwepo kwenye hicho kikao walichokua wanapanga? walikutana watu wangapi?,
tuondolee maneno ya mkosaji hapa..
kwani wee ni Mungu hadi ujue? pumbavu mkubwa wwMpumbavu ni wewe usiyeijua hata dakika 10 ni nini kitatokea kwenye maisha yako lakini unajifanya unajua
MNAOPONDA STARS NI WAJINGA NA WAHAINI, mnatakiwa kuisapoti timu yenu, tena inapoonesha kiwa ime-improve, Stars wamecheza vizuri sana. HATUJAFUNGWA.
HONGERA STARS!
Nawashangaa watu hasa WANA UKAWA MNALETA SIASA HUMU. Kamwe kwa mentality hiyo hamtatoboa maisha, ulipofikia ndo mwisho!
MAANINA ZENU WOTE MNAOIBEZA STARS!