Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.
Dizaini ya wanaotetea waarab kwa sababu ya naniliiii

Kwa sababu ya ubokoharamu wao khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ni waisilamu wajinga tu ndio wanaofanya hivyo lakini wakipata shida wanakimbilia nchi za kikristo.
 
mi n ilikuwa nawashangaa tu wanaoshangilia humu.stars ishinde kwa uwekezaji up i?

WATANZANIA ni wajinga wa mwisho dunia ni...no wonder wameichagua ccm
aiseee hata kama sisi wajinga hivi hawa algeria wamewahi kutufunga?? mechi mbili za mwisho afcon zote draw ya moja moja kwao na kwetu huo uwekezaji wao umewasaidia nini?
Kimahesabu wao ni wajinga mpaka muda huu hawakupaswa kuwa draw na sisi kama wana huo uwekezaji unewasaidia nini sasa kama wanatoa draw na sisi
 
Yaani sisi tumepata chance kama nane, tumefunga 2 wao wamepata 2 wamefunga 2, duh!
Huyu Islam namuonaga ktk tv ulaya! Ndo katupia zote mbili.
 
Kwa sababu ya ubokoharamu wao khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee ni waisilamu wajinga tu ndio wanaofanya hivyo lakini wakipata shida wanakimbilia nchi za kikristo.
FaizaFoxy eti ni kweli??
 
Last edited by a moderator:
Hahaha. Tz Bado sanaaaaa. Ingalikuwa wizi wa kura ningalisema mtashinda kwa Kishindoooo.
 
Tz bado sana mpira wao wanajua siasa za majitaka tuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom