Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Tanzania vs Algeria (Septemba 14, 2015): Mechi ya kufuzu Kombe la Dunia Urusi - 2018

Status
Not open for further replies.
Substutions alizofanya Mkwasa ndiobzimetufikisha hapa...Ngasa mpira umekwisha
 
Nimefurahi maana kesho ingekuwa ni magufuli na kikwete wameifanikisha
 
Kazi imekuwa ngumu maana kule kwao lazima kushinda. Kama ni Sare iwe zaidi ya goli mbili!
 
Sub za mkwasa zimetucost hakukua na sababu ya kumtoa Mudathir hususani
 
Mpira bongo bwana ni maumivu ya kichwa tuuuuuuuuuuuuuu .Kutoka 2-0 hadi 2-2 lo!
 
Unamtoa maguli unmwingiza ngassa pia unamtoa mudathir anaingia ndemla hii ni foolish sub dunia nzima inajua

Ngassa amekwisha, hamna kitu pale. Ameshindwa kabisa kuisadia timu yake ya Free State ya South Africa. Tangu amejiunga na timu hiyo hajafanya lolote la maana, nilishangaa kuitwa timu ya Taifa!
 
Kwani wewe ni muisilamu mjinga? khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Hapa tunajadili mechi ya Tz vs Algeria hayo uliyoyaingiza hapa hayahusiki kabisa....halafu huko kucheka cheka kwako hovyo hovyo unatutia mashaka!!
 
tutaendelea kushindwa tu kama mitazamo yenyewe tu ya watu wa JF humu ipo ki negative ipo kushindwa kushindwa mafanikio yeyote ya binadamu huanza kichwani hizi nyenzo sijui investment sijui academy ni nyenzo za kuboresha tu ila mafanikio huanza kichwani kwanza.

Akili ya mtu ikisema naweza siku zote ubongo ujifungua na kuanza kufanya kazi kwaajili ya kujakikisha jambo linatimia. tusidanganyane mpira unatushinda sababu sisi wenyewe vichwa vyetu vimeshahalalisha hatuwezi ndo maana hatwendi matatizo yote ya hii nchi jibu lake ni vichwa vyetu vina matatizo sasa wavivu na wajinga siku zote hutafuta sababu ili kuhalalisha uvivu na ujinga wao ndo yanakuja majibu hatujawekeza, sijui hatuna ligi bora oooh hatukuzi vipaji ila ukweli ni kwamba vichwani tumeshajihalalishia sisi hatuwezi na vichwa vimepumzika havijishighulishi kutafuta majibu. hivi kweli kabisa tunadanyana nchi zote mafanikio waliyonayo ni kwasababu wamejenga academy au wamewekeza pesa nyingi??
 
Team haina defensive mildfilder......haina takling mildfilder....haina attacing mildfilder beck pia tatizo halafu unategemea ushindi ? Hamna miujiza ktk soccer tufanye mambo kwa uhakika .
 
Hizi Sub zimetucost hata siamini macho yangu..
 
MNAOPONDA STARS NI WAJINGA NA WAHAINI, mnatakiwa kuisapoti timu yenu, tena inapoonesha kiwa ime-improve, Stars wamecheza vizuri sana. HATUJAFUNGWA.
HONGERA STARS!

Nawashangaa watu hasa WANA UKAWA MNALETA SIASA HUMU. Kamwe kwa mentality hiyo hamtatoboa maisha, ulipofikia ndo mwisho!
MAANINA ZENU WOTE MNAOIBEZA STARS!
 
Acha kupanic, hii ni team yetu sote, toa maoni tufanye nn?
 
Team haina defensive mildfilder......haina takling mildfilder....haina attacing mildfilder beck pia tatizo halafu unategemea ushindi ? Hamna miujiza ktk soccer tufanye mambo kwa uhakika .

Kwani tumefungwa? Algeria ni timu kubwa!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom