Ukitaguta mabeki wazawa walocheza mechi nyingi za kimataifa sidhani kama wapo kwa sasa? Na kama wapo basi hawapo katika viwango vyao.Huyo Kibu angeweza kupewa uraia hata kama sio mchezaji, yaani hata kama angekuwa mkulima tu, sheria inampa uwezo waziri kufanya hivyo na wala hakuna mtu wa kuhoji. Kwa hiyo povu la kusajiliwa Kibu kama Mtanzania lisihamishe mjadala.
Badala ya kuangalia wanaopewa uraia, hebu tuangalie mabeki wetu ambao wana uraia halali usio wa kupewa, akina Dickson na Mwamnyeto. Ni wa viwango vya kutupeleka WC? Wamewahi kucheza mechi ngapi za kimataifa? Kama sio kucheza, basi walau wana uwezo gani uwanjani?
mnamlaumu Samatta unamwacha Feitoto badala ya kupiga mashuti anafikiri yuke kwenye taarabu, Msuva pia kazingua hii ni timu kosa ni la wote kama timuKuna haja ya Mbwana Samata na Boko kustaafu kuchezea timu ya Taifa.
Mmoja kazeeka na mwingine anaogopa kuumia
Mwenzio amesema ameleta mafanikio na akatoa mfano. Wewe umesema ni tatizo lakini hujataja sababu wala mfanoKaria karia karia ndio tatizo...unasemaje wewe dogo...haya ni mawazo yangu Mimi..
Karia ndio tatizo...kwako wewe Karia ameleta mafanikio kupeleka timu nne caf...ni mawazo yako wewe..
Issue sio kucheza mechi nyingi za kimataifa mkuu, ila issue ni kwamba hatuna quality player wanaocheza soka la viwango nchi za nje na ushindani mkubwaUkitaguta mabeki wazawa walocheza mechi nyingi za kimataifa sidhani kama wapo kwa sasa? Na kama wapo basi hawapo katika viwango vyao.
tuanze na rashford kwanzaSasa sisi tunafeli wapi kutafuta wachezaji wenye quality ambao ni wenye Origin ya Tanzania na sio hawa mediocre player
Mkuu inabidi kama taifa tuna kazi ya kufanya tofauti na kuwapa uraia mediocre player wenye wanafanana uwezo na wachezaji wetu wa ndani basi tuwape uraia kama wakina Pascal serge Wawa na wengine wenye uwezo mkubwaHuyo Kibu angeweza kupewa uraia hata kama sio mchezaji, yaani hata kama angekuwa mkulima tu, sheria inampa uwezo waziri kufanya hivyo na wala hakuna mtu wa kuhoji. Kwa hiyo povu la kusajiliwa Kibu kama Mtanzania lisihamishe mjadala.
Badala ya kuangalia wanaopewa uraia, hebu tuangalie mabeki wetu ambao wana uraia halali usio wa kupewa, akina Dickson na Mwamnyeto. Ni wa viwango vya kutupeleka WC? Wamewahi kucheza mechi ngapi za kimataifa? Kama sio kucheza, basi walau wana uwezo gani uwanjani?
Huna lolote umejaa usimba tumnamlaumu Samatta unamwacha Feitoto badala ya kupiga mashuti anafikiri yuke kwenye taarabu, Msuva pia kazingua hii ni timu kosa ni la wote kama timu
Hakukuwa na haja ya baunsa kibu kupewa uraia..Yaani wachezaji wenyewe ndiyo Kibu? Naona unachangia bila kichwa
Wewe unatoa lawama mkuu badara ya kujenga hojaNadhani hujasoma tangu mwanzo, umekimbilia kujibu hii post kama ilivyo
We shoga utulie wakati wanaume wanajadili kitu kakae na wenzako msukane nyweleHuna lolote umejaa usimba tu
Kacheze wewe kama unadhani kiungo ni rahisi. Unajua unafumua shuti tu huku umekaa na bia yako watu wanatumia akili unadhani wanapiga tu hovyo. !
Punguwani mbumbumbu wewe.
Alichokifanya boko hukuona? Boko na msuva ndio walipata nafasi za wazi zaidi kuliku fei totomnamlaumu Samatta unamwacha Feitoto badala ya kupiga mashuti anafikiri yuke kwenye taarabu, Msuva pia kazingua hii ni timu kosa ni la wote kama timu
Mlipotafunwa na mkuki wenye sumu kali ya MayeleNgao ya jamii ipi wewe utopolo
Unasemaje bwana Kasongo?Tanzania will win today's game either by 3-1 or 3-1.Just thinking
Boko alikosa goli la wazi, feitoto alikosa clear chance mbili kwa kushindwa kupiga shuti ukiacha ile nyingine iliyokuja kwenye mguu tofauti anaotumia msuva Nate alikosa magoli ya waziAlichokifanya boko hukuona? Boko na msuva ndio walipata nafasi za wazi zaidi kuliku fei toto
Hivi unadhani kila unayetaka kumpa uraia wa Tanzania naye anataka huo uraia? Labda tuanzie hapo, maana tunajifunga kwenye mawazo kwamba eti akina Wawa na wengine wanapenda kuwa Watanzania. Tukumbuke kuwa kuna watu kwao kucheza timu ya taifa sio kipaumbele ukilinganisha na kujitenga na jamaa zaoMkuu inabidi kama taifa tuna kazi ya kufanya tofauti na kuwapa uraia mediocre player wenye wanafanana uwezo na wachezaji wetu wa ndani basi tuwape uraia kama wakina Pascal serge Wawa na wengine wenye uwezo mkubwa