Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

Ila Taifa Stars ya Sasa ni kama imechangamka kiasi, Soka linachezwa tofauti na siku za nyuma.

Naitakia ushindi wa Goli moja au droo. (Nimeshawabetia hivyo ole wenu mchane mkeka wangu)
 
nimempa CONGO Mazima
TANZANIA 1X
Uganda or draw
kenya total u3
 
Correct Score
3-2 .................. 60,000/=
2-3 .................. 60,000/=
2-2 .................. 20,000/=
 
Uwepo wa 'captain' Bocco unatuhakikishia ushindi wa goli 3-1

Mungu ibariki taifa starz
 
hivi manabii wetu hawawez tenda miujiza tukaenda qatar? TFF pelekeni timu jamaa wakamalize kazi...sema amen
 
Mwamnyeto na Job hawana experience wala international pedigree ya kucheza mechi kama hizi

Ni makosa makubwa sana kujaza watu ambao maisha yao hawajawahi hata kuona group stage ya CAF confederation cup inaonekanaje.
 
Kikosi kinachoanza.

1.A.Manula 2.P.Mwenda 3.M.Hussein 4.D.Job 5.B.Mwamnyeto 6.N.Dismas 7.M.Yassin 8.F.Salum 9.J.Bocco 10.M.Samatta 11.S.Msuva

KILA LA KHERI NCHI YANGU TANZANIA.
 
Mmeanza uchawi wenu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kikosi kinachoanza.

1.A.Manula 2.P.Mwenda 3.M.Hussein 4.D.Job 5.B.Mwamnyeto 6.N.Dismas 7.M.Yassin 8.F.Salum 9.J.Bocco 10.M.Samatta 11.S.Msuva

KILA LA KHERI NCHI YANGU TANZANIA.
Yule Mcongo wa Simba mbona hayumo kwenye list?
 
Kibu hakucheza ngao ya jamii hata benchi hakuwepo alicheza simba day vs mazembe na alifanya vizuri sana
Waambie sasa na wenzako nimewaelewa. Huenda nilimchanganya na yule mshambuliaji wenu hatari. Chris Mugalu.

Waache sasa kuni quote.
 
ngoma hii ni draw kuna mawili 0-0 au 1-1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…