Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

Wamuingize aina ya mchezaji kama Mugalu akakabe mabeki[emoji23][emoji28]
 
Reactions: Lee
Samatta, Msuva, Job , Zimbwe, Dismiss na Fei wanajitahidi sana.
 
Reactions: Lee
John Boko ni mzigo
 
John Bocco hana mamlaka ya kurudi uwanjani kipindi cha pili
 
Naona kama hatuko serious na hii game au ndo game plan
 
Shida kubwa Tanzania hakuna playmakers kama Chama/de Bruyne, ni vigumu sana kutengeneza high quality chances kama huna wachezaji wabunifu kwenye midfield.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…