Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo tafadhali. Dk ya ngapi, ngapi ngapi huko!! Maana timu yetu inafahamika siku zote ni tia maji tia maji.Leo boko na msuva miguu inatetemeka na ina kigugumizi
bado bila bila ... dk ya 65Matokeo tafadhali. Dk ya ngapi, ngapi ngapi huko!! Maana timu yetu inafahamika siku zote ni tia maji tia maji.
jamaaa acha awe mtz ....Kibu Denis Mnyama
Fey sio kiungo wa kuchezesha timu, ni kiungo wa kupanda na kushuka (box2box)Sio kweli mkuu,Fesal Salum mbona anaweza sana tu.
bhasi jipe mda wa kufatilia mambo mkuuHuyu Kibu, kwanini haanzi kikosi cha kwanza kwenye club yake? Huyuhuyu boko na mwenzie Mugalu ndo wanaomnyima nafasi?
kabadirishaa upepooNimeona umuhimu wa kib kupewa uraia
Amezeeka.John Boko ni mzigo
misimu minne mfulululizo sio mchezoAmezeeka.
Dah! Mlivyo nikomalia!! Kazi ninayo!! Jamani huyo mchezaji wenu Kibu! Sijui Kibuyu!! hakucheza kwenye ile mechi ya Ngao ya Jamii!!Una uhakika jibu alikuwepo kwenye ngao?? [emoji16]
hahahahahahaha unauliza au umekubaliiDah! Mlivyo nikomalia!! Kazi ninayo!! Jamani huyo mchezaji wenu Kibu! Sijui Kibuyu!! hakucheza kwenye ile mechi ya Ngao ya Jamii!!
uache kuropoka sasaDah! Mlivyo nikomalia!! Kazi ninayo!! Jamani huyo mchezaji wenu Kibu! Sijui Kibuyu!! hakucheza kwenye ile mechi ya Ngao ya Jamii!!
Wewe unaonaje mkuu?bhasi jipe mda wa kufatilia mambo mkuu
🗣️Usinifokee!!uache kuropoka sasa