Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

Tanzania vs Benin, African Qualifiers - FIFA World Cup Qatar 2022

Hatuja perform Kama team work nategemea kuona mtu mmoja akifanya maamuzi binafsi
 
Leo boko na msuva miguu inatetemeka na ina kigugumizi
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Huyu Kibu, kwanini haanzi kikosi cha kwanza kwenye club yake? Huyuhuyu boko na mwenzie Mugalu ndo wanaomnyima nafasi?
bhasi jipe mda wa kufatilia mambo mkuu
 
Una uhakika jibu alikuwepo kwenye ngao?? [emoji16]
Dah! Mlivyo nikomalia!! Kazi ninayo!! Jamani huyo mchezaji wenu Kibu! Sijui Kibuyu!! hakucheza kwenye ile mechi ya Ngao ya Jamii!!
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Dah! Mlivyo nikomalia!! Kazi ninayo!! Jamani huyo mchezaji wenu Kibu! Sijui Kibuyu!! hakucheza kwenye ile mechi ya Ngao ya Jamii!!
hahahahahahaha unauliza au umekubalii
 
Back
Top Bottom