Tanzania vs Guinea: Tanzania yaaga mashindani baada ya kutoka sare ya mabao 2 kwa 2 dhidi ya Guinea

Endapo matokeo yatabaki hivi, japokuwa sitamani hiki kitu kitokee kwa maana timu zote zimeingia uwanjani kushindana. Je, itakuwaje ? Mwenye anajua aniambie kitatokea nn.
 
nimeamua kulala ntakalo kutana nalo kesho sawa tu japo nasikia tumeongeza la 2
 
Reactions: Lee
Goli linarudi hili. Timu imeshindwa kutulia kabisa
 
Reactions: Lee
Mabeki wataighalimu timu Muda wowote naona gine wamechwarukwaa
 
ingekuwa Simba hizi ndo dakika za BM3
MB3 anatamba kwenye bonanza

kombe uandae ww
kualika wageni ww
kuwalipia msoc na gharama zote ww
kujipa ratiba rahisi ww
alafu unapakia mkongo wakati wenzio wanachukulia mazoezi hahaha

mwamedi nae kakenua eti tumewakimbiza yaani nimecheka nkamkumbuka eid amini kipindi kile anashinda mashindano ya kuogelea baada ya kuwachezea faulo wenzake alafu akashangilia kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…