Tanzania vs Malawi, kutoka CCM Kirumba 29/3/2015

kocha bishoo balaa, miwani jens kachomekea halafu hataki kuongea na waandishi
Hamna kitu huyu kocha, kiemba ameanza kuchemka kuanzia dak ya 1 ya mchezo hadi first half yote inaisha lakin kocha anaonekana bado hajagundua tatizo la kiungo. Bishoo tu huyu kocha ila hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…