Tanzania Vs Senegal....Kenya Vs Algeria..

At least watani zetu wamejitutumua hapa mwishoni sema wamenikera hawajapiga hata shuti moja golini.... Hiv kwa nini jamani?!!, Tuache ushabiki Algeria wako fit sana!!! Sisi mmmmh tulikuwa na tension sana timu haikuwa compatible kbs. Ila tumewapa sana za ugoko wakakandwe na wake zao huko. Kikikikik!!!
 
Afrika mashariki Pumbavu zetu hasa upande wa futiboli narudia tena pumbavu kabisa
 
Algeria si Senegal mkuu...Senegal ndo mbabe Afrika...ila umenichekesha eti tumewapa za ugoko,wakakandwe na wake zao[emoji23]
 
Waka kandwe etii[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Mweeeeh!! Na tukala kichapo sawa[emoji23][emoji23][emoji23] sio kwa kupendana huku[emoji134]
 
Tungechapwa 3 Ningehama Jamii forums [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ni Sawa na Yule baunsa aliyechoropoka na toka Vichakani akijisifu na kujipiga kifua akisema,
‘wamenifira ila kwa mbinde kweli?

Hahahaha, Mkuu ukifirwa umefirwa tu, Whether kirahisi ama kwa ugumu. Kifiro ni kilekile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…