Tanzania vs South Africa | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 30 April 2025.

Tanzania vs South Africa | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 30 April 2025.

Beki wetu Kibeku (2) ni ukuta na nusu
 
Online wanatucheka wanasema Tanzania Under 30
 
Daaaah ilikua goal hapa uchoyo wa pasi tu
 
Huyu Valentine Mashaka hana miaka 20 kushuka.. ila tuache
 
Tunapelekewa moto sahivi, lolote linaweza kutokea
 
Ball Possession: SA - 57% TZ 43%
 
South Africa wana stress walishapigwa mechi ya kwanza plus kuchoka, tutumie hii opportunity
 
Beki zipo poa sema middle peupe kabisa
 
Daaah hawa tunawapiga swala la muda tu,
 
Kona ya kwanza inaenda kwao. Kona goli
 
Aliebuni jezi zetu aende jela
 
Dakika ya 25 bado 0-0 Goalless
 
Back
Top Bottom