Tanzania vs South Africa | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 30 April 2025.

Tanzania vs South Africa | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 30 April 2025.

Ngoja tuone hii anaipiga April tunaweza kulia
 
Bakari winger ya kulia kala ya njano kwa kucheza faulo
 
Tuna njano mbili hadi sasa, winga na captain
 
Dakika ya 40 matokeo bado 1-0
 
Tumewazidi umri, urefu na nguvu ila wanatupelekea moto
 
Kadi ya tatu kwa Kibeku, badala ya soka tunacheza MMA
 
Dakika 2 za nyongeza zimeongezwa hapa
 
Daaaah header moja imekoswa koswa hapa
 
Carbon 14 itumike kupima umri sio vyeti vya RITA
 
Back
Top Bottom