Tanzania vs South Africa | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 30 April 2025.

Tanzania vs South Africa | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 30 April 2025.

Narudia kusema hiki kukosi sio U-20 ila fresh,
 
Kuna chuma inaitwa Phili inapeleka moto sijui kama hamna goli la 2 hapa
 
Daaah mashambulizi makali kutoka kwa Valentino dah ingekua goli ili
 
Aisee, SA are cooking, kuna pira tumechezewa hapa
 
Short corners ni ufala na ubinafsi
 
Dk ya 56 bado tupo nyuma goli 1
 
Tunafanya manadiriko kama manne hivi hapa, ya muhimu sana aya
 
Kusengama nje Sachone Ndani
 
Ball Possession imeshuka sasa 41% wenzetu 59
 
Ebwanaaaaaaa huyu sub Nashaud kapiga dhuti aisee
 
Uwanja sio rafiki unateleza sana
 
South nao wanafanya sub 4 kutuiga kwa pamoja
 
Bakari sujui mtoto wa nani, wametoe tu hana kitu
 
Back
Top Bottom