Tanzania vs South Africa | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 30 April 2025.

Tanzania vs South Africa | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 30 April 2025.

Sasa tushindwe sisi Penaltyyyyyyyyy
 
Nimetoka kumsema Bakari kaleta Penalty
 
Ila naona jamaa kacheza mpira sio mguu dah
 
VAR haijawahi kya rafiki kwa Tanzania, sio Penalty
 
Hawa madogo walioingia sub wanakipeleka
 
Total Shots sisi 9 wao 7 ila hazina msaada
 
Dakika ya 77 matokeo bado South Africa 1 -Tanzania 0
 
Tulikua na majeruhi Pipino ametoka imeingia chuma nyingine
 
Kona dakika ya 81, labda inaweza kuzaa goli
 
Sijawahi kuona kona ya ovyo kama hii
 
Mashambuliz hafifu yamefanyika ila mpira umeenda kwa kipa wa SA
 
Beki Kibeku hadi anapanda na kugeuka winga sijajua kuba nn hapa kati
 
Back
Top Bottom