Tanzania vs South Africa | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 30 April 2025.

Tanzania vs South Africa | TotalEnergies U-20 AFCON 2025 | Suez Canal Stadium - Egypt | 30 April 2025.

Uzembe wa backpass kama kaka zao
 
Madogo wa SA wana combo nzuri sana hapa mbele, Ibrahims anamchezea April pass kalunsana tokea kitambo
 
Aya sasa tuanze kutafuta droo
 
Makipa wanaleta uzungu wa backpass zao
 
Dakika ya 30, kona kuja home
 
Narudia kusema middle hatuna mtu
 
Tokea tufungwe mpira umekua papasu papasu tunabutua sana
 
Ooh wametupekea moto kiasi ila wamepoteza
 
Huyu Lawi ndio kachina goli la kwanza na sasa amepewa kadi ya njano kwa kumchezea vibaya April
 
Free kick kuja lango la Tanzania, mahala pabaya sana
 
Back
Top Bottom