Binafsi nawaunga mkono wanna yanga ili team bovu kama taifa liweze kujituma Kuna wachezaji walikua mikosi hata vilabu vyao walikotoka maana kwa sasa tunaona wanzake wanna receive positive now day'sKitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
HUWEZI KUMPANGIA MTU TIMU YA KUSHABIKIAKitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
Hahaha yanga wamepanga kuisaliti nchi kwa mabeberu tunisia?Uhaini ni kuisaliti nchi na wao wamepanga kuisaliti nchi
Tatizo ni hawa kina manara kupandikiza chuki badala ya utani wa jadi matokeo yake ndo haya sasa. Ona na wewe unavoongea sasa, na sasa hivi mna msemo wenu wa kukeraaaaMashabiki wa Yanga wanazingua ,kama tatizo ni simba kujaa kikosi cha taifa stars basi ni mchezaji gani wao wa Yanga aingie huyo ya simba atoke ,tuacheni utani wachezaji wa yanga hafikii kiwango wa wachezaji wa simba walioitwa
Utani wa jadi kati ya simba na yanga hauepukiki ,lakini tuongee facts wachezaji wa Yanga wanaostahili kuwa taifa stars ni fei toto na mwamnyeto na kipaTatizo ni hawa kina manara kupandikiza chuki badala ya utani wa jadi matokeo yake ndo haya sasa. Ona na wewe unavoongea sasa, na sasa hivi mna msemo wenu wa kukeraaaa
Apukeni maneno ya dharau, matusi na chuki.
Hayo ya wachezaji siyo hoja mkuu.Utani wa jadi kati ya simba na yanga hauepukiki ,lakini tuongee facts wachezaji wa Yanga wanaostahili kuwa taifa stars ni fei toto na mwamnyeto na kipa
Game inaonekana kwa link gani?Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
Hans pope alitaka kumpindua Nyerere hakunyongwa...itakuwa mpira 🥃Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa