Binafsi nawaunga mkono wanna yanga ili team bovu kama taifa liweze kujituma Kuna wachezaji walikua mikosi hata vilabu vyao walikotoka maana kwa sasa tunaona wanzake wanna receive positive now day'sKitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa