Tanzania vs Tunisia: Watakachokifanya mashabiki wa yanga ni uhaini kwa nchi

Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
Binafsi nawaunga mkono wanna yanga ili team bovu kama taifa liweze kujituma Kuna wachezaji walikua mikosi hata vilabu vyao walikotoka maana kwa sasa tunaona wanzake wanna receive positive now day's
 
Kitendo cha baadhi ya mashabiki kuhamasishana wakaishangilie timu ya taifa la kigeni ni sawa na kuifanyia nchi ya kigeni ujasusi dhidi ya nchi yako ambayo huhesabiwa ni uhaini na adhabu yake ni kunyongwa hadi kufa
HUWEZI KUMPANGIA MTU TIMU YA KUSHABIKIA
 
Mashabiki wa Yanga wanazingua ,kama tatizo ni simba kujaa kikosi cha taifa stars basi ni mchezaji gani wao wa Yanga aingie huyo ya simba atoke ,tuacheni utani wachezaji wa yanga hafikii kiwango wa wachezaji wa simba walioitwa
Tatizo ni hawa kina manara kupandikiza chuki badala ya utani wa jadi matokeo yake ndo haya sasa. Ona na wewe unavoongea sasa, na sasa hivi mna msemo wenu wa kukeraaaa

Apukeni maneno ya dharau, matusi na chuki.
 
Utani wa jadi kati ya simba na yanga hauepukiki ,lakini tuongee facts wachezaji wa Yanga wanaostahili kuwa taifa stars ni fei toto na mwamnyeto na kipa
 
Hayo ya wachezaji siyo hoja mkuu.
Washabiki wa Yanga wanalalamika uchochezi unaofanywa na manara na pia uonevu wa tff dhidi yao ilihali manara akidai eti enzi za malinzi nao walionewa sana. Kimsingi ni kama anakiri yanga wanaonewa makusudi ktk kulipiza kisasi. Sasa hali hii mwisho wake nini
 
Back
Top Bottom