mwanawande
Member
- Sep 3, 2016
- 77
- 40
Najaribu kufungulia stesheni za redio 80% zinapigwa ngoma za singeli tena za matusi ndani yake,jamani Raisi katangaza mfungo kwann hizo stesheni zisijarbu kupiga ngoma hata za wenzetu taswida au Gospo ambazo zitamkumbusha mtz kuwa ni kipindi kigumu tumwombe mungu wetu.Watapona soon tu hao. Mfungo wa siku tatu ukiisha tutakuwa tupo vizuri kabisa
Ombeni bila kikoma. Hii ndo dawa!Hili jambo ni la kisayansi linahitaji sulihisho la kisayansi sio 'religious fanatism'.....hapo mkuu kachemsha kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nadhani haukunielewa kutokana na makosa yangu ya uandishi.Unathibitishaje hili?
LICHADI,
Lawama zote kwa John
Tunachukua tahahadhari huku tunachapa kazi
Wanaotaka tuwekwe lockdown watatulisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unadhani takwimu halisi ya wagonjwa ni hao 150?Si mlikuwa mkida serikali inaficha takwimu? Mmeridhika sasa?
Sorry nje ya mada, hivi yule mwananzengo ni mtu wa wapi?Rais wangu ataibuka shujaa kwa Hili Janga. Hivi jamani Polepole Yupo Dar au Dodoma? Naona ukimya umezidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sidhani kama ni muda sahihi kuwa tunapeleka lawama sehemu fulani. Muda huu ni muhimu kwa sisi wote, kila mmoja kwa nafasi yake kuchukua hatua stahili kuhakikisha tunadhibiti maambukizi ya huu ugonjwa. Ndio namna pekee ya kushinda. Lawama hazitotusaidia.
No, you're wrong. Ingekua watu hawafi ungemake senseBado mashindano ya kutanganza waathirika yanaendelea sijui yana tija gani. Wangapi wamepona? Bado nasimamia pale pale dunia nzima ime overeact na huu ugonjwa.
Hawezi sema.lolote anaona kabisa teuzi mpya.hazipo yaani jamaa.akili imestuck [emoji1787]pascal mayala unasemaje juu ya hii speed ya maambukizi? Tuendelee kumsifia Mtu au tuunganishe nguvu tupambane? Mwenyewe niko ndani nimelala naumwa but sio Corona
Hao usingizi wanapata na kukoroma kabisa,, lawama wamezoea na hata vichwa haviwaumi.