mwanawande
Member
- Sep 3, 2016
- 77
- 40
Najaribu kufungulia stesheni za redio 80% zinapigwa ngoma za singeli tena za matusi ndani yake,jamani Raisi katangaza mfungo kwann hizo stesheni zisijarbu kupiga ngoma hata za wenzetu taswida au Gospo ambazo zitamkumbusha mtz kuwa ni kipindi kigumu tumwombe mungu wetu.Watapona soon tu hao. Mfungo wa siku tatu ukiisha tutakuwa tupo vizuri kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app