Narumu kwetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 1,888
- 4,489
Kwenye hili paskal huwez mwonapascal mayala unasemaje juu ya hii speed ya maambukizi? Tuendelee kumsifia Mtu au tuunganishe nguvu tupambane? Mwenyewe niko ndani nimelala naumwa but sio Corona
Sasa mkuu tulipo shauri mipaka ifungwe na kuzuia ndege ulitaka mwananchi azuie au serikali?LICHADI, Tofauti na virusi vya UKIMWI, ambavyo vina dawa ya kufubaza na maambukizi ya kisiri, huu unasambaa haraka. Pamoja na kuwa hivyo, bado kuna watu, kama wewe, hamtumii kinga kufanya mapenzi na kupima hamtaki.
Utakuwa mjinga kusubiri Serikali ikuagize kujifungia au ikusimamie kuzingatia ushauri wa wataalamu.
Madawa gani yataisha mkuu?
Hahahahaha kuna kaukweli hapa [emoji16][emoji16]Hao usingizi wanapata na kukoroma kabisa,, lawama wamezoea na hata vichwa haviwaumi.
Siwezi kusema kwa hakika 100% , lakini kwa kuangalia muda tulioanza kupata maambukizi na wagonjwa wote waliokutwa na huu ugonjwa baada ya kupimwa na serikali tuliona wametokea nchi nilizosema.Una hakika mkuu ?!.
Odhis *
What is the government's interests to hide the number patients??I am optimistic the number of covid 19 cases is higher than what we are told.
Waziri kasema tutafute asali ni bei nafuu alafu pia ni nzuri ki-afyaHuku Sukari ndio vile tena. 😷
Pascali alivyokuwa anamsifia sijui sasa yupo wapi aisee
Miungu mingi against shetani mmoja
anaongeza mwezi mzima wa maombiWametoka sehemu mbali mbali za Tanzania hi ni hatari sanaa manaake ugonjwa umesha enea nchi nzima........naomba Raisi achukue hatua zingine zaidi ya maombi, ili hu ungojwa usiingie ndani sana vijijini ambao wana matatizo ya afya mengi