Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Mnasema kuumwa sio kufa, nyie endeleeni kukoholeana tu na majibu mtapata
Mnanawa halafu mnapenga baada ya muda unapanda bus unashika kila sehemu
Jamani kaeni mkijichunga hili gonjwa linamaliza kama mshumaa shauri zenu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Unajua mtu wanaweza kuwa anamlaumu rais kwa kutofunga mipaka, pengine hajui maana ya mipaka na pengine anadhani mipakani kuna ngome, au nchi yetu imezungukwa na ngome so mipaka ikifungwa tutakuwa ndani hakuna kutoka wala kuingia, nadhani na wewe ni miongoni mwa hao. LICHADI,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
LICHADI,
Mkuu serikali siitetei kwa hili hata kidogo lakini hapo kwa wachina unapaswa ujue ukweli kwamba hawakuleta maambukizi.

Maambukizi nchini mwetu na bara la Afrika yametokea nchi za magharibi kwa mabeberu.
 
Back
Top Bottom