Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Tanzania: Wagonjwa wapya 53 wa COVID-19 wathibitika, idadi yafikia 147 (Aprili 17, 2020)

Unajua mtu wanaweza kuwa anamlaumu rais kwa kutofunga mipaka,pengine hajui maana ya mipaka na pengine anadhani mipakani kuna ngome au nchi yetu imexungukwa na ngome so mipaka ikifungwa tutakuwa ndani hakuna kutoka wala kuingia,nadhani na wewe ni miongoni mwa hao. LICHADI,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgao wa US tumeposhana nao, nadhani ukiibuka tena tutakutana nao sasa hivi, maana namba iko vyema.
 
Bado mashindano ya kutanganza waathirika yanaendelea sijui yana tija gani. Wangapi wamepona? Bado nasimamia pale pale dunia nzima ime overeact na huu ugonjwa.
mzee huko biashara zinaendelea?au maduka yamefungwa?

Hittin Blunts and Bustin Nuts
 
mulwanaka,
hivi mnajua Watanzania tutapukutika wengi sana tukiendelea kuwakenulia meno hawa clueless MATAGA?!!

someone (a non-MATAGA) needs to take a lead in this fight vs COVID-19 now....... and FAST!!
 
Back
Top Bottom