njitile junior
Senior Member
- Aug 6, 2016
- 171
- 142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajua mtu wanaweza kuwa anamlaumu rais kwa kutofunga mipaka,pengine hajui maana ya mipaka na pengine anadhani mipakani kuna ngome,au nchi yetu imexungukwa na ngome so mipaka ikifungwa tutakuwa ndani hakuna kutoka wala kuingia,nadhani na wewe ni miongoni mwa hao
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini idadi ni kubwa zaidi ya hiyo.watakua wameanza kufanya testing. Tuchukue tahadhari jamani huu ugonjwa upo na unaua sana.
Naona watu bado wanazurura hovyo vijiweni stori Kama hakuna kinachoendelea.
UZEMBE alio fanya magufuli wamefanya dunia mzima kwann umlaum magufuli pekee pili unafikir itasaidia Lock down wakati uwezo wa kuudumia raia Tanzania hatuwezi hata kwa mwezi mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda kwenye twit ya itv, redio one na media zingineHata mimi siioni popote, au vyanzo vyangu vipo slow.
Haya, tuambie wewe mwanasayansi unasemaja?Hili jambo ni la kisayansi linahitaji sulihisho la kisayansi sio 'religious fanatism'.....hapo mkuu kachemsha kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wangu ataibuka shujaa kwa Hili Janga. Hivi jamani Polepole Yupo Dar au Dodoma? Naona ukimya umezidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba iwe ni Idadi tu Ila asiwepo hata mmoja wa kupoteza maisha yake, Mungu tusaidie na isizidi kuenea, na Mungu uwaponye wote walio na Maambukizi, Amin
Sio tuu mipaka ila anaonekana kuwaza zaidi uchaguzi kuliko afya zetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee!Unajua mtu wanaweza kuwa anamlaumu rais kwa kutofunga mipaka, pengine hajui maana ya mipaka na pengine anadhani mipakani kuna ngome, au nchi yetu imezungukwa na ngome so mipaka ikifungwa tutakuwa ndani hakuna kutoka wala kuingia, nadhani na wewe ni miongoni mwa hao. LICHADI,
Sent using Jamii Forums mobile app
Watapona soon tu hao. Mfungo wa siku tatu ukiisha tutakuwa tupo vizuri kabisa
Lakini kuna watu wengi wenye magonjwa yanayopunguza kinga ya mwili HIV, TB, Kisukari, Pumu, BP. Ni hatari sana kwa mtu alieambukizwa CoronaNaiona serikali ikilemewa. Sema tuna bahati kwamba hakuna wazee wengi kama nchi za wenzetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
ana umri gani ni mzee au? alikuwa ana magonjwa mengine?Juzi amefariki mtu nayemjua kabisa na huu ugonjwa sawa endelea kusema wana over react
Sent using Jamii Forums mobile app