ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,651
- 2,790
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama walioleta dini wenyewe ndio inawapukutisha, maombi hayajawahi kuokoa chochote.Msijisumbue kwa neno lolote;bali katika kila neno kwa kusali na kuomba,pamoja na kushukuru,haja zenu na zijulikane na Mungu.Wafilipi 4:6...
Aisee. Kama hadi Lindi wameshapata mgonjwa, Kuna haja ya kupiga marufuku ya watu kusafiri toka mkoa mmoja kwenda Mkoa mwingine.
Hivi wewe una matatizo gani aisee? Upo okay kweli upstairs? 🤔Tunachukua tahahadhari huku tunachapa kazi
Wanaotaka tuwekwe lockdown watatulisha?
Sent using Jamii Forums mobile app
pascal mayala unasemaje juu ya hii speed ya maambukizi? Tuendelee kumsifia MTU au tuunganishe nguvu tupambane? Mwenyewe niko ndani nimelala naumwa but sio Corona
Hivi wewe una matatizo gani aisee? Upo okay kweli upstairs? [emoji848]
Umesoma au umejibu tu? Wapi nimemtaja JPM??Sasa JPM kafanya Nini. Changamoto tinazo Sisi wenyewe. Tunatoroka karantini. Tunacheza Disco nk. Daladala. Nk. Toka lini watz wakawa wasikivu.
Nikakwambie kwa akili kama yako. Hakuna kiongozi atakayekufaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka saa 5 kwa taarifa ya serikali ila huwezi jua wamekufa wangapi mpaka sasa mfano kwa nayemjua Mimi sijui kama yupo katika hii listWangapi?
Naitumia simu yangu kufanyia kazi nyumbani mkuu ndio maana nachelewa kupata taarifa za korona ila jamani yule aliyesema tusitishane kaugonjwa ni kadogo sijui atafanyaje sasa maana Tanzania itabaki majengo tu na hizi afya zetu za kuunga ungaUsiwe mvivu, media nyingi zimeripoti, simu yako ni kwa ajili ya kuchezea game sio?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao watu walitumika tu kuileta hiyo dini,alieleta dini duniani ni Mungu,shikilia hapohapo kwa Mungu wako mpaka akubariki,only if you have faith...Kama walioleta dini wenyewe ndio inawapukutisha, maombi hayajawahi kuokoa chochote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo hao wenye matatizo mengine au tatizo la White blood cells ni wafe tu?Corona sio kifo, na wanao kufa wengi ni wale wenye matatizo mengine au tatizo la white cells.
Dar wengi vijana na wapo fiti..
Sent using Jamii Forums mobile app
Atakae toka ataniletea mimi niliyekaa Ili njia hii iwe effective lazima wote ticheze wimbo mmoja kwa steps zinazofanana.Stay home usisuibiri amri ya serikali kwenye afya yako